Anaogopa kuambiwa anawashwawashwaMzee Butiku na foundation yake ya Mwalimu Nyerere nakumbuka alikuwa Bingwa sana wa kukosoa serikali enzi za JK.
Wakati huu Watanzania wanaokotwa kwenye sandarusi wakiwa wafu, wanapotea kwa kuikosoa serikali, wanacharangwa mapanga kama nyama buchani na wengine kutunguliwa na risasi kama swala simsikii akisema chochote.
Au ni kwa sababu mtawala wetu wa sasa ametokea ile kanda ya kwao na JK alikuwa Mswahili wa Msoga?
Inahitaji Uwe na moyo wa ajabu kwenda kusali huku unajua unaua watu tena bila aibu hata kidogoUsifanye mchezo na smg ajabu yule bwana anapiga magoti kanisani kila uchwao moyoni ana mambo mazito kwa wakosoaji aiseee
Acha aisee usinitafutie nissan.Butiama wanafanya nn? Ina maana nao wanaisoma namba?
Amelazimika kukaa kimya labda atapewa ubalozi maana Jamaa alisema mavyeo mengi atawapaKwa hiyo ameridhika na hali ya mambo ilivyo?
Nimegundua viongozi wa kiislamu wana hofu ya Mungu kuliko hawa wagalatiaWalimuonea Sana kikwete Hawa wazee. Leo kimyaaaa Kama wamesafir vile.
Ni kweli sheikh unachokinena,jamaa wanaweza kuwa na chembechembe za ubaguzi ila sio wote!Hivi Wakatoliki kumbe ni wabaguzi kiasi hiki !
Butiku yupo na sio Butiku tuu, hata Jaji Warioba yupo, Mzee Kaduma yupo, Hassy Kitine yupo, Prof. Shivji yupo, Prof. Chirs Peter Maina yupo, na watu wengine wengi waliokuwa very vocal, sasa wametulia tuli, wote hawa wanajua kusoma na kuandika hivyo wameisoma number.
P.
Yule Mzee njaa tu, ameua legacy ya Mwalimu hivi hivi tunaona!Mzee Butiku na foundation yake ya Mwalimu Nyerere nakumbuka alikuwa Bingwa sana wa kukosoa serikali enzi za JK.
Wakati huu Watanzania wanaokotwa kwenye sandarusi wakiwa wafu, wanapotea kwa kuikosoa serikali, wanacharangwa mapanga kama nyama buchani na wengine kutunguliwa na risasi kama swala simsikii akisema chochote.
Au ni kwa sababu mtawala wetu wa sasa ametokea ile kanda ya kwao na JK alikuwa Mswahili wa Msoga?
Hatari sanaButiku yupo na sio Butiku tuu, hata Jaji Warioba yupo, Mzee Kaduma yupo, Hassy Kitine yupo, Prof. Shivji yupo, Prof. Chirs Peter Maina yupo, na watu wengine wengi waliokuwa very vocal, sasa wametulia tuli, wote hawa wanajua kusoma na kuandika hivyo wameisoma number.
P.