Buti za kaki( Zimeandikwa Delta Force)

LAAM RASHIDI

Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
44
Reaction score
66
Ndugu zangu kumekuwa na uvaaji wa buti za rangi ya kaki kwa askari wengi wa jeshi letu nadhani mumewahi kuwaona huko mitaani pindi wanapokuwa wamevaa uniform zao.
SWALI..
NI LINI ZILE BUTI ZIMEKUWA NI MOJA YA UNIFORM ZETU AU WATU WANALAZIMISHA TU KUVAA ZILE KWAAJILI YA SWAGGA?
 
Weka picha. Sisi wengine hatuna tabia ya kuchunguza maaskari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…