Busu kwa mama

Mmmh....kwa 'mila' zetu hizi! But it feels good anyway.
 
Mmhh mi sijui kama Mama Mdogo atakubali nimpe hilo busu labda nimuulize
Eti Mama Mdogo hapo vipi ?

Ni sisi wa nineteen kweusi lakini dot com ni kitu cha kawaida saana tu yaani mie mwenyewe wakati mwingine mpaka nashtuka kwa sababu hatukuwahi kufanya hivyo kwa wazazi wetu.
 
Last edited by a moderator:
Mmmh kwa bi mkubwa wangu mimi kule mang'ula sijui.kama atanielewa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…