Habari waungwana, jamani me nimepiga dili kadhaa , nimepata kama million 5 hivi, so nahitaji patner mwenye idea nzuri ya kibiashara, tufanye business.. Nakaribisha mawazo...
Mkuu renyo hili sio juu husika kwa mada yako ndio maana hupati msaada. Muombe mods walipeleke huko jukwaa la ujasiriamali. Pia jaribu kutembelea huko utapata idea nyingi tu zilizojadiliwa hivyo waweza kuchagua itakayokufaa kwa pendeleo lako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.