Salamu zenu wanajamvi!
Mimi ni mjasiriamali, ninamiliki mashine za kukamua mafuta ya alizeti mkoani Singida. Ninatafuta business partner ambaye ana mtaji kwa ajili ya kushirikiana naye kukuza biashara ya mafuta ya alizeti na mashudu. Yeyote mwenye mtaji wa kati ya milioni 20 - 30 awasiliane na mimi. Ni biashara nzuri, inalipa na ni feasible. Serious entrepreneurs aniPM.