Erick_Otieno
JF-Expert Member
- Mar 28, 2010
- 624
- 1,020
habari wadau,
Kama mnavyojua, siku zote mafanikio huja kwa kuendana na hali, kuangalia upepo unakoelekea, kutatua tatizo ambalo kwa muda huo jamii ndio inakumbana nalo nk.
Sasa jimekuja na wazo la kibiashara ambalo nahitaji Partner, hapa chini: aya ya kwanza ninachambua wazo...aya ya pili ninaorodhesha sifa za Partner:
WAZO
team Kiba na Team Diamond zikutane live, kwenye ukumbi, au hata kama ni uwanja wa taifa...bila Smartphone wala Internet bundle...wachambane watukanane na hata ikibidi wapigane. Kutakuwa na refa (kidigitali ndo bundle yako ya Internet unayoitumia kuwa timu flani...). Kiingiliao ni Tsh elfu 2 (wastani wa internet bundle kwa mtanzania wa kawaida, yaani 1 GB).
PARTNER
Uwe na uwezo wa kufinance: yaani ulipie/ukodishe ukumbi...mimi mwenzio kazi yangu ni kuhakikisha makaratasi yapo sawa (proposal, marketing letter, promotion, PR, kibali n.k.)
PLEASE PM