Business Partner Wanted: Simba vs. Kiba project proposal

Erick_Otieno

JF-Expert Member
Mar 28, 2010
624
1,020
habari wadau,

Kama mnavyojua, siku zote mafanikio huja kwa kuendana na hali, kuangalia upepo unakoelekea, kutatua tatizo ambalo kwa muda huo jamii ndio inakumbana nalo nk.

Sasa jimekuja na wazo la kibiashara ambalo nahitaji Partner, hapa chini: aya ya kwanza ninachambua wazo...aya ya pili ninaorodhesha sifa za Partner:

WAZO

team Kiba na Team Diamond zikutane live, kwenye ukumbi, au hata kama ni uwanja wa taifa...bila Smartphone wala Internet bundle...wachambane watukanane na hata ikibidi wapigane. Kutakuwa na refa (kidigitali ndo bundle yako ya Internet unayoitumia kuwa timu flani...). Kiingiliao ni Tsh elfu 2 (wastani wa internet bundle kwa mtanzania wa kawaida, yaani 1 GB).

PARTNER
Uwe na uwezo wa kufinance: yaani ulipie/ukodishe ukumbi...mimi mwenzio kazi yangu ni kuhakikisha makaratasi yapo sawa (proposal, marketing letter, promotion, PR, kibali n.k.)

PLEASE PM
 
mkuu idea km hizi unaona utani lkn ndo maisha yenyewe...yaani leo au kesho ww ndo utakuja kuomba ajira ohooo
Utashtakiwa na Kiba na Mond kwa kutumia majina yao waliyoyajenga kwa GHARAMA KUBWA, JUHUDI na UBUNIFU ( BRAND ) kujiingizia fedha bila ridhaa yao. UTAFUNGWA
 
HAKIKA SITAFUNGWA....hayo majina makubwa unayoyapa kichwa sisi...mimi na nwewe ndio tumeyatengeneza
 
habari wadau,

Kama mnavyojua, siku zote mafanikio huja kwa kuendana na hali, kuangalia upepo unakoelekea, kutatua tatizo ambalo kwa muda huo jamii ndio inakumbana nalo nk.

Sasa jimekuja na wazo la kibiashara ambalo nahitaji Partner, hapa chini: aya ya kwanza ninachambua wazo...aya ya pili ninaorodhesha sifa za Partner:

WAZO

team Kiba na Team Diamond zikutane live, kwenye ukumbi, au hata kama ni uwanja wa taifa...bila Smartphone wala Internet bundle...wachambane watukanane na hata ikibidi wapigane. Kutakuwa na refa (kidigitali ndo bundle yako ya Internet unayoitumia kuwa timu flani...). Kiingiliao ni Tsh elfu 2 (wastani wa internet bundle kwa mtanzania wa kawaida, yaani 1 GB).

PARTNER
Uwe na uwezo wa kufinance: yaani ulipie/ukodishe ukumbi...mimi mwenzio kazi yangu ni kuhakikisha makaratasi yapo sawa (proposal, marketing letter, promotion, PR, kibali n.k.)

PLEASE PM
Hawa wabembe mnawapa vichwa wanajiona wanayofanya ya maana.
 
Back
Top Bottom