Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,786
- 7,567
Wakuu,
Bi mkubwa kashaona Watanganyika tumeishiwa pawa, ni mwendo wa kula tu na ndugu na marafiki na hajari rorote. Business parter wa Mchengerwa naye amepewa asante ya uteuzi. Sijui itakuwa alifanya kazi gani ya kupewa zawadi?!🌚🌚
Baada ya wanahisa wengine kuongezeka, Mchengerwa akatuchezea mchezo, eti akaziba jina lake, la mdogo wake nalo likapotea, afu braza Emma akaingia hapo - ili tuone kuwa Mkwe hamiliki karibu hisa zote wakati ni geresha tu😂😂😂🤣 msitufanye watu wajinga bana🌚🌚
Halafu huyu bwana yupo bodi ya wakurugenzi ya Crown, huku Mkwe kamvuta ili kutuzuga kuwa yeye sio mwanahisa pekee wa Rufiji FM... hii inamaanisha Boss wa Crown ni nani?🌚 Sitawaambia kila kitu banaaaa
Anyhu, mama anatosha, amani tuliyoichagua itawale😌😌