Nawasalimu wote, jamani kuna business opportunity meeting inafanyika JB Bellmont tar 15 Aug 2013 card ninazo kama unaitaji wasiliana nami kwa namba hii 0754/0715 297298.

unatangaza fursa kwa kuficha utadhani unatangza biashara ya madawa!
kuwa wazi unaficha nini.
weka taarifa kamili isije kuwa ni madawa ya kulevya.
sem:
-aina ya biashara
-nani ataendesha huo mkutano
-nani mdhamini n.k

-nani mdhamini
-je kuna gharama,ili mtu ajiandae
n.k
Oriflame hawa na bidhaa zao bei kwel kuuza kwa m2 wa kawaida chek catalog yao, af mbaya zaid zimedizainiwa hasa kuwafit wazungu kwa ngozi zao labda perfum kidogo inawezakua multpurpose..hili halina ubishi mulize hata yule Mama wakichaga atakwambia