Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Habari za kwenu.?
Naomba kujua ni wapi naweza kuprint business cards kwa bei nafuu hapa Arusha mjini,nataka kuprint 200 Pcs.Ntaka kujua gharama za printing tu,tayari nina art work.
Asante sana.!
Mawasiliano: 0787140432 au niPM au nijibu hapa jukwaani.