Bushokeee !

Mimi ningemuomba msamaha kabla ya kunitembeza barabarani, jamani uso nitauweka wapi
 
Inahitaji moyo wa chuma na ujasiri mkubwa ukichanganya na ukauzu mwamaume kujishusha mbele ya jinsia pinzanj
 
Ingekuwa wewe ungekubali kutembezwa no mwanamke hivyo barabarani?
 
Napata kitu ya A-town, natoa lock na burudanj wine halafu najitoa ufahamu nakuwa kauzu napiga goti kwa mikono yote miwili na AM SORRY KUUUUUBWAA...!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…