Wakuu natarajia kusafiri kutoka DAR kwenda Dodoma. Bus gani zuri na nauli ikoje? Kwa wenyeje wa Dodoma, hoteli gani nzuri yenye bei za kuanzia 20,000 - 30,000? Natanguliza shukrani zangu.

Mkuu kwa upande wa Basi kweli sijui....lakini upande wa Hotel lala ile aliyolala Cashier wa MANJI......
Panda kimbinyiko or shabibi hotel lala veta hotel or morena hotel. Kama unataka hotel ya nje ya mji nenda four points hotel