Bus la Yanga ni TATA. Utopolo acheni kutaka sifa zisizokuwa zenu

Kudadeki Minyani hata yadanganywe kuwa Yanga wamenunua Meli ya kuendea Zanzibar kucheza Bonanza la Mapinduzi Cup basi yataamini.

Yani Wachambuzi wao takataka wamewapostia basi la Kampuni ya HUNTER LUXURY inayomiliki Mabasi ya KUNEEL HUNTERS na kuwaambia eti ni Basi la Yanga basi yameamini kama Minyumbu na Kuanza kujitangazia kuwa Basi lao ni Scania.

Yani Mijishabiki ya Yanga Mibogus, Mipuuzi, Mijinga, Mimwehu, Hayana akili, Mipumbavu yanayodanganywa Ovyo kabisa.
Una wivu flan hivi kama wa demu
 
Saa hizi wako kwenye tambo ya kikosi cha mwaka kesho, ni kelele kila sehemu kwamba mwaka kesho watakua na kikosi hatari sana... huwa najiuliza hawa Utopolo huwa wanatumia nini kufikiri manake mwaka wa nne huu kila usajili wanapiga kelele tu ikifika mwisho wa mwaka hawana ubingwa.
Tambo zinatokana na Manji karudi + GSM + Dangote + Bilionea wa Singida
Huu muziki usipime .... Sisi tuna watu!!

Teh, hadi babra kawehuka, anataka kufumua mfumo wenu wa uendeshaji club
 
Mwaka wa nne huu mnapiga tu kelele, mpira ungekua pesa tu peke yake AZAM angekuwa ameisha chukua ubungwa hapa kati kati.. lazima mjenge tim kwanza ndio mtapata ubingwa sio tu pesa Utopolo
 
Saa hizi wako kwenye tambo ya kikosi cha mwaka kesho, ni kelele kila sehemu kwamba mwaka kesho watakua na kikosi hatari sana... huwa najiuliza hawa Utopolo huwa wanatumia nini kufikiri manake mwaka wa nne huu kila usajili wanapiga kelele tu ikifika mwisho wa mwaka hawana ubingwa.
Wanatumia kijambio
 
Mwaka wa tano huu mikelele yao ya next season inachosha sasa
WAMDAI GSM UBINGWA KAMA ALIVYOWAAHIDI!!
Ila hata wana akili basi?wanaaminishwa TFF inawaonea na wamekosa ubingwa sababu Morrison aliibwa na Simba.Ni aibu kuwa shabiki wa Yanga kwakweli
 
Utofauti wa simba na Yanga upo clear kabisa, Yanga kauza media rights zake kwa Azam TV kwa Bilion 40 kwa muda wa miaka 10 tu, ila simba kauza timu na kila kitu chake kwa Bilion 20 tena milele na hakuna kipengele cha kurudisha pesa kwa mnunuzi

Mada hapa ni Bus la Yanga je ni Scania Iriza i6 au ni TATA.Usianze kuhamisha magoli hapa
 
Tambo zinatokana na Manji karudi + GSM + Dangote + Bilionea wa Singida
Huu muziki usipime .... Sisi tuna watu!!

Teh, hadi babra kawehuka, anataka kufumua mfumo wenu wa uendeshaji club

Tayari mmeshamrukia na Dangote? Hamkomi tu kushangilia ahadi hewa.Yale yale ya Scania Iriza ya Madrid.
 
Back
Top Bottom