Bus la Nyehunge lapata ajali

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,056
Reaction score
110,692
Habari za uhakika kutoka kwa jamaa aliekuwepo kwenye bus la nyehunge lifanyalo safari za Kakola- Mwanza.
Nyehunge limegongana uso kwa uso na lori katika maeneo ya bank kama unaelekea ilogi. Inasemekana watu sita (6) wameumia vibaya na watatu katiyao hawajitambui kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…