mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
nshakuambia utadata tu! na arobaini naona kama vile zinakaribia, kama mna plan B basi bora muanze kuitumia kabla hatujawakabizi kioo mjitazame...Aisee, unaona uongo wa hawa watusi ? Tangu desemba mwaka jana, viongozi wa kijeshi waliouawa hadi juzi ni sita. Kati ya hao sita mtusi ni mmoja tu, waliosalia ni wahutu. Hawa jamaa wanaua sana wahutu halafu wao ndio wanaopiga kelele kuwa wanauawa.
maswala ya ndugu zetu kule Zambia yamepewa attention hadi na Raisi wa hiyo nchi, usiwe na shaka, yatarekebishwa na kwa upande wetu as a Country...Hivi Mchamba huchoki kurudia rudia masuala haya miaka nenda rudi?
Nyinyi Wanyarwanda mnajifanya ni Wakatoliki kuliko PAPA!! In other words mko overly concern na masuala ya mambo ya ndani nchini Burundi kuliko Warundi wenyewe - twambie ukweli mna ajenda gani ya siri kuhusu Taifa hilo, Warundi wanahusika vipi na mambo yaliyo tokea Rwanda zaidi ya miaka ishirini iliyopita.
Kama bado mna entertain idea ya Mtutsi mwenzenu kutawala majority ya Wahutu nchini Burundi hiyo sahau kabisa - siyo siri hilo ndilo lengo lenu kuu mnatumia mbinu nyingi za ku demonise Nkuruzinza bila mafanikio - nasema hivi: go on building castle in the air, who knows may be one day mtazinduka kutoka kwenye ndoto zenu za mchana, lakini ukweli utabaki kwamba - mbinu zenu za kubuni ufalme mambo leo utaishia nchini mwenu Rwanda nchi za Maziwa makuu haziwezi kukubali ujinga huo kuwa propagated kwenye nchi zao.
Hapa unakazania kutangaza ubaya wa utawala wa Nkuruzinza na Wahutu lakini linapo kuja suala la Rais wa maisha (life President) nchi mwenu huko kimya kabisa.
Mbona usemi lolote kuhusu Wafanya biashara wa Kinyarwanda kuchomewa maduka yao huko Lusaka Zambia na wengine kuuwawa kutokana na imani zao za kishirikina au hiyo si habari kwako - habari ni Nkuruzinza tu.
kwa hiyo samaki ukunjwa baada ya kukaangwa au akingali mbichi? sasa hao ndugu zetu ulioishi nao miaka yote hiyo kwa amani, utulivu na upendo waligeuka walipofika Rwanda? unaweza ukatupa mfano? acha kuunda mambo kusudi usupport your racist arguments ambazo kwa mtizamo wangu zaweza zikawa zimetokana na ile misumu ya jMali au huyo mke wako wa kizungu anaweza akawa ndio wale wapambe wa kina jMali kutoka HRW kama ni kweli, basi pole sana kwani ndugu zako tupo na bado ni walewale na hakuna mabadiliko yoyote... kilicho badilika ni mtazamo wetu dhidi ya DUNIA pale tulipo jikuta tumeachwa peke yetu...Nkurumbi ni jina la Kihaya, tangu lini Warundi wakajulikana kwa majina ya kienyeji ya Wahaya - Wanyarwanda kweli kuna majina yanafanana na ya Wahaya, Banyankole, Batoro, Banyoro, Bakiga na Banganda.
Mkuu Mchamba, mimi sina chembe ya ukabila wala nini sijui, ninacho kemea ni tabia ya baadhi yenu kuwa na nawazo ya kizamani kwamba mna hati miliki ya kuwatawala wengine, matatizo yote chanzo chake ni imani zenu potofu - hapa unasema hayo ni mambo ya kizamani - hivi Mchamba unaweza kuniangalia usoni ukanishawishi kwamba udanganyi i.e ufanyi usanii kuhadaa Dunia - kama ni kweli mind sets zenu zimekuwa reformed kihasi hicho basi hilo tunapashwa kumshukuru Mungu.
Mchamba how many times must U repeat U're self kwa kunituhumu kwa ukabila!!! Mimi sizungumzi mambo ya kubuni/tunga nilisha sema baadhi ya Wanyarwanda tumeishi nao vijijini kwa karibu tukishirikiana nikiwa na umri mdogo sana, sikuwahi kushuhudia ubaguzi au ukabila wakiwa uhamishoni ni watu wastaarabu sana, tatizo ujitokeza wanapo rudi kwao Rwanda wanapractice ukabila to maximum - lakini Dunia wanaileza mambo mengine tofauti kabisa!!
Narudia kusema kwamba kuishi nao kwa muda mrefu vijijini na wengine kukutana/soma nao O-Level tulisimuliwa mambo mengi na wazazi wao na watoto wao bila kificho, tunapo kemea wasifikiri hatujui tunacho zungumza/kemea. Mimi sina tatizo na Wanyarwanda nisicho penda ni kule kugombana gombana kama watoto wadogo wakiwa nchini mwao - wakiwa nje ni wastaarabu kweli kweli.
Mwisho Mchamba mimi sikuoa kabila langu na watoto wangu hakuna hata mmoja anazungumza/jua kilugha mke wangu ni mzungu sasa madai yako ya kusema mimi ni mkabila unayatoa wapi? Tatizo lako ukiambiwa ukweli unakimbilia kutafuta vijisababu vidogo vidogo kujihami, hujui kwamba sisi wakemeaji wakubwa tunawatakia Wanyarwanda mema wala hilo wewe ulioni!!!! Kitu kingine may I know kwa nini umeni tag ?
nshakuambia utadata tu! na arobaini naona kama vile zinakaribia, kama mna plan B basi bora muanze kuitumia kabla
nshakuambia utadata tu! na arobaini naona kama vile zinakaribia, kama mna plan B basi bora muanze kuitumia kabla hatujawakabizi kioo mjitazame...
kioo mjitazame...
Mkuu bora mnavyokuwa mnauona ukweli jinsi ulivyo. Ingekuwa ni mtusi ameuawa, mchambawima1 angeshatoa povu muda mrefu lakini kwa kuwa ni muhutu kauawa anakunywa mvinyo kwa furaha saahizi.mchambawima1 huwa Mimi namshangaa Kwa kweli. Ukabila utakuua brother. Ya warundi waachie warundi...komaa na ya kwenu Rwanda. Juzi ameuawa Kanali Wa kihutu huko Burundi mbona hatujaona ukizungumzia kukereka? Au Kwa kuwa ni mhutu? Rais kwako Kagame amejifanya lifetime President mbona haukemei? Au Kwa kuwa ni mtusi mwenzako ndio maana unaona poa? Uchaguzi Burundi ushafanyika na wakamchagua Nkurunziza awe Rais wao...kuna tatizo gani mngetulia mpaka msimu wake Wa miaka mitano ukaisha? Uchochezi mnaofanya hamtafanikiwa na Kwa taarifa yenu hakuna anayeunga mkono upuuzi mnaotaka kufanya Burundi. Shame on you mchambawima1 et al
akili za hivi ndio zinazowafanya muendelee kuuwana huko BJ! huyo Snipper unayempa tano, ni MCHOVU mwenzake asiyeelewa hata kusoma! ukabila kautowa wapi katika maandishi yangu? kama kweli anaakili basi analysis yake angekuwa keshaifanya zamani kipindi cha kina jMali na wafuasi wake!Mkuu bora mnavyokuwa mnauona ukweli jinsi ulivyo. Ingekuwa ni mtusi ameuawa, mchambawima1 angeshatoa povu muda mrefu lakini kwa kuwa ni muhutu kauawa anakunywa mvinyo kwa furaha saahizi.
mchambawima1 pitia thread yako ya kwanza kabisa uone ulivozungumzia ukabila...wewe ndio bingwa wa kutetea utusi na kukandia uhutu. Hakuna ambaye halijui hilo ndani ya jf