mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
Ni swala la muda tuu Nkurunziza ataachia tuu,extremist wenzake Rwanda 94 walikuwa wanasaidiwa na France sasa yeye anasaidiwa na nani,nchi maskini hata uchaguzi walichangisha wananchi,ngoja aanze kushindwa kulipa mishahara labda kina Vyuma watamchangia
not at all! you simply don't get it... nashangaa kuona unauliza hilo swali wakati kila siku unashinda hapa JF lakini unajifanya haujuwi uextremist wa Nkurunziza na wahuni wenzake! haya kama ulikuwa haujuwi kwa nini watu wanamuita extremist basi fuatilia kwa makini...Kwa iyo any Hutu leader ni extremist.
haya swali kwako Hoshea hivi chama kinachoongoza nchi na chenye sera za kikabila ndani ya Burundi alafu bado kwao haitoshi sasa wanataka kuueneza dunia nzima, tuwaiteje?
don't be stupid! you ask and conclude at the same time, so what do you want? do you have any material evidence to support accusations?Kwani anawaua bure, me naona ana retaliate, sababu wanamvamia wanataka kumuua, sasa kama ww watu wanataka kukuua utafanyeje.
Turudi kwa hao wavamiaji kwenye kambi za jeshi ni kina nani hao, na kwanini kuna tuhuma toka UN na serikali ya Bujumbura kwamba wanafadhiliwa na Kagame, au UN nao wanawasingizia.
Na kwanini vurugu zinasikika Bujumbura peke yake.
Ishara zote zinaonyesha kuna mchezo mchafu sana unachezwa, prior to these Burundi election sijawai sikia Nkuruzinza kawinda watu awaue, ila Kagame kaua mpinzani wake South Africa, kaua Tz, Belgium nilisoma mmoja alikoswa koswa na RPF fortunately yake Belgium police waliwashtukia majamaa wakamwepusha, vitisho alivomchimba JK.
Haya ni mambo yametukia nikiwa na akili timamu achana na story zingine za kusoma na kufuatilia, mtu ukiwa neutral ukafuatilia hizi mambo zenu utaona kabisa Kagame na some guys wa ethnicity yake, baadhi wapo humu, ni tatizo.
Najua utapinga, ila ukweli haupingwi.
don't be stupid! you ask and conclude at the same time, so what do you want? do you have any material evidence to support accusations?
then fine! I am not going to respond to your baseless accusation! white guys write a report then you pick up and run... no question no nothing... your arguments based on rumors and that is stupid indeed!Hehee, ukweli unauma eh, you didnt have to stupid me, you sound stupidier, jibu hoja usilete vihoja.
I want nuthn from you, I investigate me self, I just laid down the facts for you, si umeniita mwenyewe, sijakurupuka kukujibu, ulihitaji me response, there it is. You can not fool all the people all the time you know.