Burundi most corrupt East African country | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Burundi most corrupt East African country

Discussion in 'International Forum' started by Invisible, Jul 23, 2010.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Corruption in East Africa will hinder the progress of a five-nation bloc to form a single market and increase investment, an anti-corruption watchdog said Thursday.

  Earlier this month Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda and Burundi began operating as a single market with one set of regulations with an ultimate goal of creating a federation.

  Transparency International-Kenya said in a report released Thursday that Burundi is the most corrupt country in the five-nation bloc. Kenya was named as the most corrupt last year, but that survey did not include Burundi and Rwanda.

  "The region will only firmly entrench itself on the path to economic and social development after inefficiencies necessitated by corruption are effectively confronted," said the survey, which was prepared by the local chapter of the Berlin-based global anti-corruption group.

  "Corruption threatens to hold back the attainment of the objectives set out by the member states. Key governance and enforcement institutions as well as service institutions continue to dominate the list of bribery-prone institutions in the region, compromising accessibility to and the quality of services offered," the group said.

  The survey found that 36.7 percent of the people in Burundi had been asked for bribes, while Uganda and Kenya also scored above 30 percent. Tanzania came in at 28.6 percent.

  By contrast, the number of people who reported being asked for a bribe in Rwanda was very low, said Lisa Karanja, the deputy executive director of Transparency International in Kenya.

  The group interviewed almost 10,500 people in person across the five countries between January and March. Those interviewed were asked whether they had encountered institutions where bribes were demanded for services, if they paid and whether they received the services sought after payment.

  Transparency International said the margin of error ranged by country from 1.72 percent to 3.36 percent.

  The Burundi Revenue Authority, Burundi police and Kenya police were the top three most corrupt institutions in the region.

  Alfred Khang'ati, an assistant minister in the office of Kenya's prime minister, urged Transparency International to also research the people giving bribes and then announce their names publicly.

  "Once we deal with the bribery givers to a certain extent you will have dealt with the bribery takers," Khang'ati said.

  Source: AFP
  July 22, 2010
   
 2. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hii list iko hivi:

  1: Burundi----Most Corrupt
  2: Kenya
  3: Uganda
  4: Tanzania
  5: Rwanda:---Least corrupt
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Duuuu! pamoja na madudu yote haya tunayoyaona tz yaani bado kuna wengine hali yao ni worse zaidi yetu?...can't believe this!
   
 4. RealDeal

  RealDeal JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uganda iko number two wewe. this is how the list is:

  1: Burundi----Most Corrupt
  2:
  Uganda
  3: Kenya
  4: Tanzania
  5: Rwanda:---Least corrupt
   
 5. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Teh!, teh! teeh! nilijua tu utakuja mbona umechelewa ulikuwa wapi?... Haya basi tuweke Kenya ni namba three (3)..:smile:
   
 6. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Sawa labda kweli we are second least corrupted country in EA, je tunasimama wapi kwenye orodha ya UFISADI na Viongozi Kufuja (kama sio kuiba mali za Umma) East afrika?
   
 7. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tanzania inaweza kua imetoa rushwa kwa hao reseachers ili isiwekwe nafasi ya most corrupt East African country. Wabongo nux. Na kama kweli kuna waliotufunika kwa rushwa, basi wanakiona cha moto.
   
 8. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Kenya is the most corrupt PERIOD
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Jul 23, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,801
  Likes Received: 5,091
  Trophy Points: 280
  ..hapana jamani. kwa rushwa za kijinga-jinga nadhani Tanzania tunaongoza.

  ..i think Tanzania has the most myopic leadership in East and Southern Africa.
   
 10. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Stu.pid minister! Hajui hata mbinu zinavyotumika kufanya utafiti. Napenda kumfahamisha huyu waziri wenu kuwa ili kupata watu wataojibu bila woga, wakati mwingine tafiti nyingi zanaahidi watu kutotaja majina yao. Lengo la tafiti ni kupata hali halisi sio majina ya watu.

  Kazi ya kutafuta watoa na wapokea rushwa ni ya serikali yenu na sio international transparency. La kushukuru ni kwamba umepata ukweli, vipi utaushughulikia ni kazi kwako. Ukipenda ishi nao!!!! A Zombie minister
   
 11. RealDeal

  RealDeal JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  In fact there isn't a research done, the comments by individual citizens is what determines the end result. you can also vote online at the TI site.
   
 12. n

  nomasana JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  i dont think there is a more corrupt nation in eastern africa than kenya.

  government bureaucracy system in kenya is driven by corruption
   
 13. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Corruption is a cancerous desease, and once infected in society it keeps spreading!
  What we think to be corruption is a national pastime in other countries!
  There are several remedies from different nations:
  1 Chinese dose-culprits are rounded up and shot!
  2 American dose-culprits are taken to courts and jailed
  3 British dose-culprits are given a tongue lashing(BAE saga?)
  4 Italian dose-what is corruption?, mama mia!!
  5 Kenyan dose-he who exposes corruptuon is sought out and dealt with
  6 Tanzanian dose-TAKUKURU never sees anything

  Concluding from no 1 to 6 there is absolutely NO corruption in Tanzania!!!
   
 14. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2010
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni! Yani, uozo wote ulipo bongo bado tunaonekana sisi ni wazuri au afadhali! Basi bila shaka hao wengine ni wagonjwa mahututi.
   
 15. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,467
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Rushwa kubwa za kufillisi nchi
  1.Tanzania
  2.Kenya
  3.Uganda
  4.Burundi
  5.Rwanda
   
 16. kussy

  kussy JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2010
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  jamani mbona hamtaki ukweli? mshafika Kenya ninyi? the country is so corupt!!!!!!!!!!!
   
 17. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Please get a piece of words from the president of TZ CONCERNING CORRUPTION in TZ

  HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO
  WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO
  KIKWETE, AKIAGANA NA BUNGE LA JAMHURI
  YA MUUNGANO WA TANZANIA, UKUMBI WA
  BUNGE, DODOMA, 16 JULAI, 2010


  Mapambano Dhidi ya Rushwa na Maadili ya Uongozi
  Mheshimiwa Spika,
  Ahadi yangu ya kuongeza kasi ya mapambano dhidi ya rushwa, ubadhirifu wa mali ya umma na matumizi mabaya ya madaraka nchini tumeitimiza. Tumekemea vitendo vya kutoa na kupokea rushwa na kuchukua hatua za kisheria na za kinidhamu kwa wahusika pale ilipobidi kufanya hivyo. Tumetunga Sheria mpya na kali zaidi na tumepitisha mkakati mpya wa kupambana na rushwa. Tumeunda upya chombo cha kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU). Sasa TAKUKURU ina ofisi katika kila wilaya na tumeiongezea uwezo wa kibajeti na rasilimali watu na vitendea kazi.
  Juhudi hizo, zinadhihirisha utashi mkubwa wa kisiasa tulionao wa kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Kwa sababu hiyo, katika miaka mitano hii, tuhuma nyingi zimechunguzwa, kesi nyingi zimefikishwa Mahakamani ikiwa ni pamoja na zile za rushwa kubwa.

  Mapambano bado yanaendelea. Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita tumepeleka Mahamani kesi za rushwa 780. Idadi hii ni kubwa kuliko kesi zote za rushwa zilizopata kupelekwa Mahakamani katika kipindi cha miaka 20 kabla ya hapo, ambazo zilikuwa 543. Kati ya kesi hizo 780 Serikali imeshinda kesi 160. Katika kipindi cha miaka 20 kabl a ya hapo (yaani kuanzia 1985 – 2005) Serikali ilishinda kesi 58 tu. Mapambano bado yanaendelea.
   
 18. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,467
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Tatizo la Tanzania ni rushwa kubwa kwa kunufaisha nchi za nje,Kenya rushwa kubwa kwa kunufaisha wakenya.
   
Loading...