mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,613
- 23,745
Wote tunaona vizuri sana kuwa hako katoto kanachapwa makofi na sio risasi. Ingawa hutaki kutoa picha za hao watoto huwa wanatumika vipi ngoja nikusaidie.na mwingine huyo... na AK-47
Acha ushabiki, nyerere alikoswakoswa kupinduliwa mara nyingi kuliko Nkurunzinza ambaye ni mara moja tu! Je Nyerere alikosa uhalali wa kuwa kiongozi? Wewe ungekubali watu wake wauawe kama wanavyouawa watu wa serikali ya Nkurunziza.ndo maan tunasem maraisi ambao watakumbukw africa nzima ni nelson mandela na nyerere pekee,waliobaki ni kichefuchef viongozi wamejawa na tamaa ya madaraka awana hata roho ya huruma.ivi hata imani ya Mungu hauna,yani mtu ufikilii kuw kuny'any'ania kwako madarak kumesababish roho za watu wengi kuondok
wewe bana acha kuchanganya mambo! mbona unashindwa kutuambia chanzo?Acha ushabiki, nyerere alikoswakoswa kupinduliwa mara nyingi kuliko Nkurunzinza ambaye ni mara moja tu! Je Nyerere alikosa uhalali wa kuwa kiongozi? Wewe ungekubali watu wake wauawe kama wanavyouawa watu wa serikali ya Nkurunziza.
madai yao yanaeleweka lakini mshikaji wako Nkurumbi akaona bora awamwagie risasi! sasa we ulitaka wafanyeje?Wote tunaona vizuri sana kuwa hako katoto kanachapwa makofi na sio risasi. Ingawa hutaki kutoa picha za hao watoto huwa wanatumika vipi ngoja nikusaidie.
Huyu askari ni mwanamke angalia sindumuja wanavyomfanya.
Hili lijitu huwa linanichosha..likishindwa linaanza kusema sijui ID mpya, sijui nini..wewe si uko jamiiforums? haya tuambie hiyo ID mpya ya mchambawima1 ni ipi manake aki log in tu unamuona....usiogope kivuli chako wewe..jibu hojaKila mtu anajua wewe ndio mpotoshaji, ndio maana kila siku unaanzisha ID mpya za kushindana na mimi na kuleta picha kuwa watu wenye mawazo yako wako wengi humu JF, cha kuchekesha unajisahau na kuanza kulumbana kwa kutumia ID pendwa. Kila mtu anaona jinsi unavyoanzisha mjadala na ID moja halafu ikijibiwa inakaa kimya wewe unaipokea. Tumia akili kidogo tu mkuu, si unajua penati ya uzembe wa kumuaibisha aliyekutuma?😀
anatia huruma! kwani haujuwi wale aliowaroga na misumu yake hivi maziwa yameanza kuwaingia? wengi washa tapika misumu karibu yote, wengine yamewakolea hadi nyongo mkuu... sasa kama ingekuwa wewe ungefanyaje? lazima utafute visababu vya kupotezea jMaliHili lijitu huwa linanichosha..likishindwa linaanza kusema sijui ID mpya, sijui nini..wewe si uko jamiiforums? haya tuambie hiyo ID mpya ya mchambawima1 ni ipi manake aki log in tu unamuona....usiogope kivuli chako wewe..jibu hoja
vioo vinaandaliwa, siku ikifika kila mtu atapewa chake ajitazame! vyumaElezea stori nzima huyo scout aliuawa namna gani?
Lakini haijakatiwa misaada hadi Leo! Ndio ujiulize kwa nini? Ila kwetu walileta mikwara kibao.hii burundi imepotez muelekeo kbisa
Hakuna aliyemzuia bensuda kufanya uchunguzi, la maana atende haki tu. Je, paka atachunguzwa lini? Maana nae kwa kuua watu hajambo au kwa kuwa yupo under umbrella ya marekani/illuminat haguswi?hoja gani? we subili ndugu yako amalize mauwaji mpewe kioo mjitazame... na Bensouda kaanza kukitayarisha! nyie mnatufanya tuonekane waafrica wote ndio walewale... acheni kututia haibu na Nkurumbi wenu...
KIOO KINAANDALIWA!
Acha porojo zisizokuwa na ushahidi. Kama wanaua raia wasiokuwa na silaha, who is then killing government officials ? Naamini kuna mengi unayoyajua tena machafu ya hima empire but huyaelezi hadharani rather you spread propagandas.
Aliyokuwa anamtendea kiiza besigye ni sahihi ? Au kwa kuwa ni mtusi mwenzako ndio huyaoni maujinga yake ?kwani Museveni uliona akiuwa waandamanaji? Interahamwe bana duh
Unapenda binadamu wenzio kuuawa? Unapaswa kupimwa akili!ila hii staili nimeipenda,wale ambao wanausika kweny uwongoz ndo wanakuw walengw wa kifo.sio unauwa wasiokuw na hatia
ndio, siyo sahihi! HUMANITY first my friend! wewe ukabila utakumaliza, usijilinganishe na mimi INTERNATIONAL we mchovu! nimeishi na ndugu zangu waki-Africa wa aina zote tena nchi tofauti, waarabu waliouzisha ndugu zetu katika biashara ya utumwa, wazungu ambao mababu na mababa zao ndio waliotufikisha hapa pote! hadi wachina walionilisha vitu vya ajabu-ajabu visivyoeleweka bila ufahamu... huo "Uhutu" au "Ututsi" uliowamaliza akili to me is just BULLSHIT! nyie watu wanafiki sana! juzi kati mlijifanya kumpenda sana Raisi mstaafu Kikwete kwa sababu alimrudisha kichaa wenu kazini aende akauwe vizuri... guess what? charity begins at home baby! anza mpendane, uwezi ukampenda wa nje kama ndugu yako mwenyewe hautaki hata kumsikia... kwani Besigye kauwawa? hiyo ndio tofauti yenu na BIG-minds za mtu kama Museveni! watu waliandamana tena maandamano makubwa lakini wakatulizwa bila kuuwawa! je ni sahihi? big NO! hivi uliwahi kuona maandamano ya against wall-street? waliuliwa wangapi? nyie watu sijuwi vipi, acheni unafiki! hiyo nchi yenu wote mpende msipende, je mnataka maisha ya kuendelea kuuwana milele? I don't think so! mkichinjana hata sisi wa huku nje tunawachukulia kama wauwaji tu, msije mkalalamika huko mbeleni... hence xenophobic attacks! like the one we saw in Zambia recently... hiyo mikosi mnayojipa, mkienda nchi za watu hata kama hamuhusiki, lazima mtakuwa washukiwa wa kwanza! utanisamehe lakini huo ndio ukweli au vipi jMaliAliyokuwa anamtendea kiiza besigye ni sahihi ? Au kwa kuwa ni mtusi mwenzako ndio huyaoni maujinga yake ?
Former President Ntibantunganya is right! so who is killing the opposition? only stupid minds talk of "Hima empire" in this 21st century! unbelievable!Acha porojo zisizokuwa na ushahidi. Kama wanaua raia wasiokuwa na silaha, who is then killing government officials ? Naamini kuna mengi unayoyajua tena machafu ya hima empire but huyaelezi hadharani rather you spread propagandas.
usimfananishe MWANA-MAPINDUZI His excellency P. Kagame na hao wachovu wako wasiojielewa! jMaliHakuna aliyemzuia bensuda kufanya uchunguzi, la maana atende haki tu. Je, paka atachunguzwa lini? Maana nae kwa kuua watu hajambo au kwa kuwa yupo under umbrella ya marekani/illuminat haguswi?
Mwanamapinduzi? Duh ! Kweli njaa mbaya sana.usimfananishe MWANA-MAPINDUZI His excellency P. Kagame na hao wachovu wako wasiojielewa! jMali
hey... good morning! vyuma I am sorry, another bad day for you... jeez! Final NGO Statement 26th April.pdfMwanamapinduzi? Duh ! Kweli njaa mbaya sana.
nani kakwambis,misaad karibu yote ilishafutw wakwanz walikuw wa belgium wakafatia marekan wakaja na europe wamwisho walikuw wafaransaLakini haijakatiwa misaada hadi Leo! Ndio ujiulize kwa nini? Ila kwetu walileta mikwara kibao.