mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
anha, unataka kujifanya mjinga, kusudu uanzie story katikati! anza mwanzoChanzo cha mgogoro kivipi? Wao walifanya nini? Kila mtu anajua mgogoro ulisababishwa na mapinduzi na sio Nkuruziza. Kazi yako ngumu sana aisee, maana inabidi ujitoe akili kabisaaaa.
usichanganye mambo! umeniuliza kuhusu Museveni ni kakuambia ingawa Uganda waliandamana ulisikia mtu kauwawa?1. kwa kuendelea na uchaguzi ni watu wangapi walikufa? How does that justify mauaji! yani nyie watu ajabu kweli kweli. Mbona zanzibar uchaguzi umefanyika kibabe na hakuna mtu aliyepoteza maisha?
2. Mbona wapinzani hao wameshindwa mahakamani na hawataki kwenda mahakama za juu zaidi? Mahakama mbili zimekubali haki ya nkuruzinza kugombea, hao watu wanaoua wenzao wao wana ushahidi gani wa kitaaluma kuwa nkurunzinza hana haki?
Nimechanganya kitu gani sema wewe ndio unachanganya mambo, waandamanaji wa museveni na wenyewe wangekuwa wanaandamana kigaidi kama sindumuja wa cibitoke wangepigwa tu. We umeona wapi waandamanaji waue ila wao wasiuawe na polisi?usichanganye mambo! umeniuliza kuhusu Museveni ni kakuambia ingawa Uganda waliandamana ulisikia mtu kauwawa?
AK-47 kama huyu marehemu?waandamanaji wa museveni walikuwa na AK-47? walikuwa wanalipua grenades? walikuwa wanachoma mashule? Wewe ndio interahamwe wahedi!
unajidanganya sana! na usikiri watu wote hapa ni wanaakili kama zako, wengi wameyafuatilia tangu mwanzo, usitake kuanzisha upotoshaji wakoNimechanganya kitu gani sema wewe ndio unachanganya mambo, waandamanaji wa museveni na wenyewe wangekuwa wanaandamana kigaidi kama sindumuja wa cibitoke wangepigwa tu. We umeona wapi waandamanaji waue ila wao wasiuawe na polisi?
aliuawa namna gani? Huyu awe targeted ili iweje? Huyu anamnyima usingizi Nkurunza kivipi? Elezea the whole story how he died sio kuleta habari nusu nusu. Hizi mbinu zenu za kutafuta sympathy tumeshazoea. Kama ambavyo mnaonyesha mafuvu kidogo kwenye museum ili kuhalalisha mauaji ya watu milioni 8 DRC na kwingineko!AK-47 kama huyu marehemu?
siyo huyo dogo (RIP) huyo ni mwingine! huyo naye aliuliwa akitoka kwa kinyozi pamoja na baba yake... mchana kweupe!Elezea stori nzima huyo scout aliuawa namna gani?
Kila mtu anajua wewe ndio mpotoshaji, ndio maana kila siku unaanzisha ID mpya za kushindana na mimi na kuleta picha kuwa watu wenye mawazo yako wako wengi humu JF, cha kuchekesha unajisahau na kuanza kulumbana kwa kutumia ID pendwa. Kila mtu anaona jinsi unavyoanzisha mjadala na ID moja halafu ikijibiwa inakaa kimya wewe unaipokea. Tumia akili kidogo tu mkuu, si unajua penati ya uzembe wa kumuaibisha aliyekutuma?😀unajidanganya sana! na usikiri watu wote hapa ni wanaakili kama zako, wengi wameyafuatilia tangu mwanzo, usitake kuanzisha upotoshaji wako
Mbona huelezi huyu dogo yeye alikuwa nani kwenye hao waasi mpaka auawe? Baba yake naye auwawe for what motive? Funguka, you are not making any sense.siyo huyo dogo (RIP) huyo ni mwingine! huyo naye aliuliwa akitoka kwa kinyozi pamoja na baba yake... mchana kweupe!
kwa sababu alikuwa na AK-47 barabarani! nyie Interahamwe noma sanaMbona huelezi huyu dogo yeye alikuwa nani kwenye hao waasi mpaka auawe? Baba yake naye auwawe for what motive? Funguka, you are not making any sense.
lol... kwani nani kakuambia nataka unielewe? we najuwa unanielewa ila midamu ndiyo hivyo tena, ishawamaliza!sasa hilo ni jibu au swali mbona wewe interahamwe hueleweki?
miaka kumi tena ya reverse mkuu! alipo ikuta nchi na alipo irudisha, aibu tupu! na bado anang'ang'ania...hivi kwani kuna mtu ameletw dunian kw ajiri ya kuongoz wengine,kila mtu ana uwezo kiongoz na nchi nzuri siku zote ujengw kw ushirikiano ni ngum san mtu mmoj kufany mazur yote. miaka zaidi ya 8 umekuw ukiongoz nchi bado tu unatak kuongoz zaid ya hapo
Picha huwa na maelezo na source. Je maelezo ya picha yanasema nini? Mbona huonyeshi upande wa pili hao wanaolengwa walikuwa kina nani na walikuwa na nini?lol... kwani nani kakuambia nataka unielewe? we najuwa unanielewa ila midamu ndiyo hivyo tena, ishawamaliza!
Museveni, kagame, kabila wote hao wameongoza miaka mingi, lakini bado hakuna uhalali wa watu kuua watu wasio na hatia kwa sababu hiyo. Kila kitu kinakwenda kwa utaratibu wa kisheria.hivi kwani kuna mtu ameletw dunian kw ajiri ya kuongoz wengine,kila mtu ana uwezo kiongoz na nchi nzuri siku zote ujengw kw ushirikiano ni ngum san mtu mmoj kufany mazur yote. miaka zaidi ya 8 umekuw ukiongoz nchi bado tu unatak kuongoz zaid ya hapo