Utakuwa ccm wwinteresting, hebu tuambie, upande wa uongozi kosa lao ni nini hasa mpaka wauawe? Kufanya uchaguzi?
CMM? acha kukufuru mkuu! hilo ni Interahamwe, usimfananishe na binadamu wa kawaida... hao ndio wale x-tremist waUtakuwa ccm ww
hoja gani? we subili ndugu yako amalize mauwaji mpewe kioo mjitazame... na Bensouda kaanza kukitayarisha! nyie mnatufanya tuonekane waafrica wote ndio walewale... acheni kututia haibu na Nkurumbi wenu...Hata CCM wanastahili kujibiwa, jibu hoja tafadhali.
usijifanye chizi! hebu tuambie Nkurunziza kaongoza miaka mingapi? labda tuanzie hapo... sitaki yale majibu yako ya mkato, ooh sijuwi Kagame mara nini... kwa sababu haujatuona tukiandamana kumpinga! haya nieleweshe vyumainteresting, hebu tuambie, upande wa uongozi kosa lao ni nini hasa mpaka wauawe? Kufanya uchaguzi?
alafui jMali anajiuliza eti kwanini akiuliwa mtu wa kwenye serikali hatupigi kelele, wao ndio chanzo cha mgogoro vyuma na namlivyowashenzi bora hata ya wenzenu, nyie mnauwa raia wasiojuwa kinachoendelea, wasio na siraha tena wanawakuta majumbani kwao na kuuwa watoto, wanawake, wazee na vijanaila hii staili nimeipenda,wale ambao wanausika kweny uwongoz ndo wanakuw walengw wa kifo.sio unauwa wasiokuw na hatia
wao hawakuua mtu yoyote ili Nkurunziza aendelee kuwapo. Hawakutumia mtutu bali sanduku la kura, upande wa pili ulifanya mapinduzi ya kumwaga damu na kusababisha watu wakimbie ukimbizini kuhofia usalama wao. Kwa nini unadhani ni busara wao kuuawawa?wao ndo wanaosababisha mkruzinza kuendelea kuwepo
kwa sababu ni wauwaji!wao hawakuua mtu yoyote ili Nkurunziza aendelee kuwapo. Hawakutumia mtutu bali sanduku la kura, upande wa pili ulifanya mapinduzi ya kumwaga damu na kusababisha watu wakimbie ukimbizini kuhofia usalama wao. Kwa nini unadhani ni busara wao kuuawawa?
Usikariri mambo, ICC itahukumu hao waasi sio serikali. Hujaona ndugu yako Bosco Ntaganda anajibu mashtaka wakati Joseph Kabila yuko madarakani?hoja gani? we subili ndugu yako amalize mauwaji mpewe kioo mjitazame... na Bensouda kaanza kukitayarisha! nyie mnatufanya tuonekane waafrica wote ndio walewale... acheni kututia haibu na Nkurumbi wenu...
KIOO KINAANDALIWA!
Chizi ni wewe unayedandia maswali ya watu wakati kumbe hata uwezo wa kujadili huna. Nkuruzinza kuongoza miaka mingapi haina uhusiano wowote na kinachoendelea. Unataka kusema itakuwa haki kwa waasi kuua viongozi wa serikali ya Uganda kwa kuwa Museveni kakaa sana madarakani?usijifanye chizi! hebu tuambie Nkurunziza kaongoza miaka mingapi? labda tuanzie hapo... sitaki yale majibu yako ya mkato, ooh sijuwi Kagame mara nini... kwa sababu haujatuona tukiandamana kumpinga! haya nieleweshe vyuma
Chanzo cha mgogoro kivipi? Wao walifanya nini? Kila mtu anajua mgogoro ulisababishwa na mapinduzi na sio Nkuruziza. Kazi yako ngumu sana aisee, maana inabidi ujitoe akili kabisaaaa.
serikali gani ambayo inandelea na uchaguzi wakati wapinzani wameugomea kutoka na kukiukwa kwa sheria walizojiwekea wenyewe mbele ya umati wa watu wazito pale Arusha?Usikariri mambo, ICC itahukumu hao waasi sio serikali. Hujaona ndugu yako Bosco Ntaganda anajibu mashtaka wakati Joseph Kabila yuko madarakani?
kwani Museveni uliona akiuwa waandamanaji? Interahamwe bana duhChizi ni wewe unayedandia maswali ya watu wakati kumbe hata uwezo wa kujadili huna. Nkuruzinza kuongoza miaka mingapi haina uhusiano wowote na kinachoendelea. Unataka kusema itakuwa haki kwa waasi kuua viongozi wa serikali ya Uganda kwa kuwa Museveni kakaa sana madarakani?
kama unakumbuka victim wa kwanza wa Nkurumbi alikuwa ni mtoto mdogo SCOUT! remember?Chizi ni wewe unayedandia maswali ya watu wakati kumbe hata uwezo wa kujadili huna. Nkuruzinza kuongoza miaka mingapi haina uhusiano wowote na kinachoendelea. Unataka kusema itakuwa haki kwa waasi kuua viongozi wa serikali ya Uganda kwa kuwa Museveni kakaa sana madarakani?
1. kwa kuendelea na uchaguzi ni watu wangapi walikufa? How does that justify mauaji! yani nyie watu ajabu kweli kweli. Mbona zanzibar uchaguzi umefanyika kibabe na hakuna mtu aliyepoteza maisha?serikali gani ambayo inandelea na uchaguzi wakati wapinzani wameugomea kutoka na kukiukwa kwa sheria walizojiwekea wenyewe mbele ya umati wa watu wazito pale Arusha?