Burundi in great crisis! World must take action quickly

Burundi in great crisis! World must take action quickly

WAPOMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Posts
689
Reaction score
175
The situation in Burundi is very bad. I urge the international community to act now, to act today. So many killings are taking place through out the country silently.

If you don't believe me, just go to Nyarugusu camp and talk to refugees who arrived today, yesterday and the day before yesterday.

East Africa, African Union and United Nations, please take action quickly so that nobody is blamed after mass violence and killings.
 
Hali inavyoendelea huko Burundi baadhi ya fursa za kibiashara huanza kuchomoza
 
Every one is seeing what transpires in Burundi right now. I can generalize it to be Brutality and Massacre! This young man purporting himself to be an elected president is supposed to be dragged down to ICC in the Hague, so that he pays a fortune equal to his bloody-blood!
 
Chief, unavyojua wewe nani anafanya vurugu Burundi? Al jazeera wameonyesha jinsi wakimbizi wanavyokuwa recruited na nani hasa anafanya vurugu, sio Nkurunzinza anayefanya vurugu. Wakimbizi wenyewe wanasema kwa midomo yao nani anawafadhili kufanya vita.
 
Jamani acheni utani!!!, Bujumbura hali ni tete, wananchi wnegi wnauawa kama kuku kila kukicha. Jumuia ya KIMATAIFA ichukue hatua.
 
Jamani acheni utani!!!, Bujumbura hali ni tete, wananchi wnegi wnauawa kama kuku kila kukicha. Jumuia ya KIMATAIFA ichukue hatua.

Hiyo unayoita jumuiya ya kimataifa ndio inayoratibu machafuko. Subiri watakapouawa wa 'upande wao' ndio utawasikia wanajileta.
 
Mzee wa jenosaidi upo? bado kwenu sasa. Sijui mtakimbilia wapi na bongo mmenyea kambi.....LOL

Hahaha mi sinaga mazoea na interahamwe kabisaaah,naona fdlr mmeshaingia Burundi na mmeanza kuua kama kawaida yenu? Hivi mlikosea nini Mungu nyie ni damu mkononi mwanzo mwisho duuh
 
Hahaha mi sinaga mazoea na interahamwe kabisaaah,naona fdlr mmeshaingia Burundi na mmeanza kuua kama kawaida yenu? Hivi mlikosea nini Mungu nyie ni damu mkononi mwanzo mwisho duuh

Ahahahhaha Kagame mission in Burundi hiyo. Sasa itamgeukia na yeye huko huko mkuu.
Nkuruzinza akomae hivyo hivyo tu. Sasa Wabongo tukimuweka mtu hakuna wakumtoa mzee wa jenosaidi.
 
Hakuna vita wala vurugu kule,mimi juzi nilikuwa Bujumbura for 2 days,hali ni shwari na watu wanakula ambiance kama kawaida,nenda Makamba,Nyanzalac na kwingineko nchini Burundi watu wanashangaa waliokimbia wamekimbia kitu gani,nadhani waliokimbia wanamatarajio fulani kutokana na kukimbia kwao au ni kile wataalamu wanaita SUBJECTIVE FEAR.
 
Hizi International Organizations ndio zimeharibu waafrika, jipangeni wenyewe mjikomboe mambo ya kutegemea uncle kila siku hayana faida ndio yanarudisha maendeleo yenu nyuma. Jipangeni mpambane na hao maharamia. Time for the people to wake up! Hii misaada baadaye ndio wanatumia kuwakamua kama ng'ombe.
 
Back
Top Bottom