Atatoka tu kuna kina rwasa,buyoya,wote wanaconection na jeshi hakuna cha uhutu wala utusi next president wa burundi atakuwa muhutu.mchezo utakuwa hivi kesi itaenda mahakamani na mahakama itamruhusu kugombea kwa sababu mahakama ni serikali tawala na yeye ndiye mtawala.hapo ndipo kinanuka you wait and see