Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,387
anataka apate huruma ya umoja wa mataifa ili vita vikizuka asiwe mtuhumiwa namba mojaWe unahisi nini kinaendelea mpaka nkurinzinza anajitokeza tena kulalama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kale ka burundiKajamaa Gani?
urusi hausiki apo bt ufaransa yupo china nae yupo kama hayupo vileHii vita ikipigwa itakuwa ngumu sana kwa Slim.
Ana maadui kila kona, ndani na nje.
Usikute Urusi na Ufaransa washapenyeza mkono wao hapo Bujumbura kutoa support.
Lazima Slim awe mpole.
Ina maana Slim haja kalkuleti risk ya vita aone hali ikoje aache choko choko??urusi hausiki apo bt ufaransa yupo china nae yupo kama hayupo vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiwe msahaurifu, mgogoro wa Uganda na Rwanda ni mkubwa kuliko Burundi na Rwanda.Ina maana Slim haja kalkuleti risk ya vita aone hali ikoje aache choko choko??
Au ka vile Mganda yuko karibu anapata kiburi??
Msimamo wa chini ya kapeti wa Tanzania juu ya hii tension ukoje??
Sasa Kiburi cha Rwanda kinatoka wapi??Mkuu usiwe msahaurifu, mgogoro wa Uganda na Rwanda ni mkubwa kuliko Burundi na Rwanda.
Na wao wanafanyiana timing, kagame alitaka kumpindua na kumkil M7
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe yuko na Mr.Slim for life,_kiburi ndio kinatoka hapoSasa Kiburi cha Rwanda kinatoka wapi??
Japo ni ngumu sana kwa Museveni kumuacha Kagame wakati wa shida, ila inaonekana kuna mahali Kagame anapata kiburi.
Isije kuwa USA na EU wapo nyuma ya pazia.
Jiwe??
Mm ninakwambia kitanuka tu and Mr. Slim should play this game nicely..........kuna mtego mkubwa sana kwake hapa na kama sio msoma nyakati hili dimbwi havukiwiki ijayo burundi wanapokea 21 tank from bulgaria pia makomando wao waliokuwa kozi urusi wameitwa
Sent using Jamii Forums mobile app
reka ububeshi!wiki ijayo burundi wanapokea 21 tank from bulgaria pia makomando wao waliokuwa kozi urusi wameitwa
Sent using Jamii Forums mobile app
slim ni war mongerIna maana Slim haja kalkuleti risk ya vita aone hali ikoje aache choko choko??
Au ka vile Mganda yuko karibu anapata kiburi??
Msimamo wa chini ya kapeti wa Tanzania juu ya hii tension ukoje??
anatafuta pakufiaMm ninakwambia kitanuka tu and Mr. Slim should play this game nicely..........kuna mtego mkubwa sana kwake hapa na kama sio msoma nyakati hili dimbwi havuki
Sent using Jamii Forums mobile app
duh kama vita za kina ottomanIli kuepusha gharama Na maafa ikitokea nchi zinataka kupigana ingekua inatayarishwa sparing kwenye neutral ground halafu marais ndio wanapigana mshindi anatawala kote Ingekua safi
Nina Hakika asingekuwepo mchokozi
Kwanini mkuu mbona jiwe yuko karbu sana na slimJiwe??
Sidhani aisee.