Kwa jinsi walivyoondolewa Mtabila,wana prefer kwenda Rwanda ambako wanapokelewa,wanachelea kuja hukoHuk border ya kigoma wakmbiz bado hawajaanza kuja,
nobody cares about africa if we live or die,
Ni sahihi kabisa!Kwa jinsi walivyoondolewa Mtabila,wana prefer kwenda Rwanda ambako wanapokelewa,wanachelea kuja huko
Kwa jinsi walivyoondolewa Mtabila,wana prefer kwenda Rwanda ambako wanapokelewa,wanachelea kuja huko
NI ushauri tu! Rais wa Burundi angestaafu kwa heshima kama atasimama mbele ya wananchi wake na kuomba kutogombea tena hata kama wanampenda. Halii inafanana kabisa na yaliyotokea Ivory Cost pamoja na Burkinafaso. Nashindwa kuelewa kwanini marais wa Afrika wanakataa kutoka Ikulu!
Kwa jinsi walivyoondolewa Mtabila,wana prefer kwenda Rwanda ambako wanapokelewa,wanachelea kuja huko
Huk border ya kigoma wakmbiz bado hawajaanza kuja,
nobody cares about africa if we live or die,
Huk border ya kigoma wakmbiz bado hawajaanza kuja,
nobody cares about africa if we live or die,
Why should they care if we dont care about ourselves? AU ipo tu imekaa kimya. Tatizo Afrika viongozi wanafiki wanaogopa kuambiana ukweli ndiyo maana unawaona kimya wataanza kujikosha damu ikimwagika na lawama kwa nchi za Ulaya na Marekani eti waliona dalili za umwagaji damu ila hawakuchukua hatua.