mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
- Thread starter
-
- #21
which means the whole idea is just nonsense, right? basi wacha nikupe tano mkuu, ingawa jibu lako limekuja limefifiafifia...Shida naona hapo kwenye hizo percentage za kikabila kwenye vyeo.
heri ya mwaka mpya! hongera, naona mwaka umeuanza kwa hekima! @jMali @Bukyanagandi @vyuma @Gamba la Nyoka @einstein newton ...
Mkuu, Tanzania tuna makabila 120+ - kwa hiyo suala la ratio gani i-represent kabila lipi Serikalini na Mashirika ya UMMA kwa hapa kwetu Tanzania hilo suala ni immaterial kabisa. Lakini kwa nchi kama Burundi na Rwanda suala la ukabila ni talk of the town! Hata mjaribu kuli-sweep under the carpet au kuli bury 6 feet under bado litahibuka tena as time goesby! Inasikitisha sana lakini ukweli ndio huo 'am sorry kulisema hilo - leo hii nimetoa ushauri kwamba kumaliza matatizo sugu ya ukabila katika Nchi hizi mbili basi kila kabila litengewe nchi ya kuishi.mzee Mandela aliliona hilo mapema akasema jamaa hawana vision! kwanza vita ilikuwa imemshinda! akaona wazee wako wanapendekeza kumpa nchi kwa dezo, basi yeye hata hakuangalia kipengele gani hakifai, akapiga sign fasta! sasa wewe mbona unakonalia ratio, kwani kwenu ratio yenu ikoje?
huku kwetu hakuna huo ufara! unyarwanda first! kipindi cha kina @jMali ilikuwa ni 100% Hutu lakini haikuwafanya wawe na fikra za kibinadamu!
kwa hiyo unakubali kwamba hayo matatizo yaliletwa na wakoloni? mbele ya hapo hizo nchi zilikuwa zinaishi na amani, au sio? kwanza hata kwenu, tatizo sio kuwa na lugha 120+ kwa sababu mngetaka kutawaliwa na ukabila basi hata hizo 120 sio kitu! @Bukyanagandi kwani Sudan baada ya kuigawa nini kilitokea? ile ile chuki ya Sudan Vs S. Sudan imeahamia kati ya S. Sudanese Vs S. Sudanese yaleyale aliyoyasema mzee Nyerere(RIP) ukiweka chuki mbele basi haina mwisho... the once unified S. Sudanese for the same course are now divided than ever, you see?Mkuu, Tanzania tuna makabila 120+ - kwa hiyo suala la ratio gani i-represent kabila lipi Serikalini na Mashirika ya UMMA kwa hapa kwetu Tanzania hilo suala ni immaterial kabisa. Lakini kwa nchi kama Burundi na Rwanda suala la ukabila ni talk of the town! Hata mjaribu kuli-sweep under the carpet au kuli bury 6 feet under bado litahibuka tena as time goesby! Inasikitisha sana lakini ukweli ndio huo 'am sorry kulisema hilo - leo hii nimetoa ushauri kwamba kumaliza matatizo sugu ya ukabila katika Nchi hizi mbili basi kila kabila litengewe nchi ya kuishi.
Dunia haiwezi kukaa inasikiliza magomvi ya ukabila tangu miaka late 1950s mpaka leo,pendekezo langu la kutengea Nchi tofauti kwa makabila yenu kuishi separately naona uli dismiss off hand just like that - bila ya kulitafakali kiundani!! Umesahau masuala ya Sudan ya kaskazini na kusini, Yugoslavia ya zamani nk. Najua utakuja hapa na hoja ya kudai kwamba Rwanda imefanikiwa kuondoa ukabila - hiyo si kweli hata kidogo, ukweli wa mambo ni kwamba Wahutu wa Rwanda wako completely PETRIFIED na Serikali ya Rwanda hata ukiwangalia usoni hilo linaonekana wazi wazi especially school children - tuwe wakweli hapa msema kweli ni mpenzi wa MUNGU.
your right! ulikuwa ni urafi wa madaraka tu! lakini sio kulaumu wahutu tu waliotia sign, watutsi nao wanatakiwa kulaumiwa! kwa nini walikubali ukabila utawale mazungumzo! mi nafikiri kitu cha muhimu zaidi ilikuwa kuweka vipengere ambavyo vita protect the minority na kuishi kama wananchi wengine... kila nchi ina past yake tena zote mbovu! sio siri, watu wazamani walikuwa wanaishi maisha ya kinyani... wameuwana sana! lakini wameichukulia kama past and they are moving on... can you imagine Jews are living side by side with the Germans? why not us? kwa bahati nzuri asilimia 70% ya wanyarwanda ni vijana waliozaliwa after Genocide! hivi wanaifaidi Rwanda na ndio maana watu haiwaingii kichwani jinsi Kagame anavyopitishwa karibu 100% na tuna songa mbele @jMali @vyuma @BukyanagandiMwanzo nilikuwa Sympathetic na movement ya akina Nkurunzinza, mpaka pale nilipoona kwamba, Walisaini mkataba unaowapa Watusi ambao ni 14 percent ya population asilimia 50 ya nafasi za utumishi jeshini na pia unaowapa hao Watusi asilimia 40 za utumishi serikalini.
Nikagundua kumbe haikuwa Movement ya kuleta heshima kwa Wahutu bali ilikuwa ni movement ya Kutwaa madaraka tu.
Sasa kwa kuwa the whole struggle ni Joke, basi inabidi hawa akina Nkurunzinza na wenzao walioingia mkataba wa kijinga kama huu wakae pembeni ili kizazi kipya cha Warundi kifanye Dialogue ya Kitaifa, Cha kuona ni namna gani Burundi isiyo na ukabila inajengwa.
Hata hivyo jukumu la Kumuweka pembeni Nkurunzinza ni la Warundi wenyewe!
your right! ulikuwa ni urafi wa madaraka tu! lakini sio kulaumu wahutu tu waliotia sign, watutsi nao wanatakiwa kulaumiwa! kwa nini walikubali ukabila utawale mazungumzo! mi nafikiri kitu cha muhimu zaidi ilikuwa kuweka vipengere ambavyo vita protect the minority na kuishi kama wananchi wengine... kila nchi ina past yake tena zote mbovu! sio siri, watu wazamani walikuwa wanaishi maisha ya kinyani... wameuwana sana! lakini wameichukulia kama past and they are moving on... can you imagine Jews are living side by side with the Germans? why not us? kwa bahati nzuri asilimia 70% ya wanyarwanda ni vijana waliozaliwa after Genocide! hivi wanaifaidi Rwanda na ndio maana watu haiwaingii kichwani jinsi Kagame anavyopitishwa karibu 100% na tuna songa mbele @jMali @vyuma @Bukyanagandi
Ha ha haa !!! Mwaka mpya Mwema Bwana, nadhani anayetakiwa kubadilika ni wewe. Kwanini unapenda kum-glorify Kagame knowing that he is employing Inyenzi Inkotanyi tactics to distabilize Burundi ? Do you think it is not known? Achani ukabila tumewachoka sana Bwana. Usijifanye mnafiki percentage hukuifurahia while deep down in your soul ulipenda huo mgawanyo. Hutus nao wajinga sana tumewakaribisha kwetu sasa they have started robbing our people and killing them. Shame on you mchambawima who represent Inyenzi Ikotanyi ideology and those who represent InteraHamwe ideology . Shame on you once again. If you don't abandon these barbaric ideologies there will be no peaceful Rwanda nor Burundi, because if you think in your empty head that Rwanda is peaceful now, what is happening in Burundi will come to hunt Rwanda in the near future. Don't glorify Kagame because he is not God, he can not rule you forever even if you may opt to change you constitution trillion times. Nina hasira ya kuandika mengi lakini ngoja niishie hapa. Shame on you Mchambawima.lol... lakini kwanza, heri ya mwaka mpya! omba Mungu akusaidie huu mwaka ubadili tabia... nililijuwa hilo ndio maana nikaona bora tarehe 31 na 1 nikwepe nuksi za watu kama wewe, ni siku za muhimu sana kwangu, ni wakati wa kumshukuru Mungu kwa kufunga na kuuanza mwaka na baraka zake! but to be fair, you are barely true on your comment... ni kweli nimekuta nzi mmejaa tele na haifurahishi hata kidogo!
Rwanda? nani kakuambia tuna huu ujinga? huu ujinga upo Burundi na huko Arusha tu! tafadhali msichanganye mambo!
mh! acha kujifanya mentor... sasa mbona wewe umeitilia maanani hadi ukaipost?Hiyo iliyopita (the most recent) ni makosa ya kiufundi. Nimepost kwa makosa post ya mtu mmoja wa mlengo wa kagame uliopostiwa siku za nyuma. Hivyo msiutilie maanani
Mchambawima nahitaji majibu yako tafadhaliHa ha haa !!! Mwaka mpya Mwema Bwana, nadhani anayetakiwa kubadilika ni wewe. Kwanini unapenda kum-glorify Kagame knowing that he is employing Inyenzi Inkotanyi tactics to distabilize Burundi ? Do you think it is not known? Achani ukabila tumewachoka sana Bwana. Usijifanye mnafiki percentage hukuifurahia while deep down in your soul ulipenda huo mgawanyo. Hutus nao wajinga sana tumewakaribisha kwetu sasa they have started robbing our people and killing them. Shame on you mchambawima who represent Inyenzi Ikotanyi ideology and those who represent InteraHamwe ideology . Shame on you once again. If you don't abandon these barbaric ideologies there will be no peaceful Rwanda nor Burundi, because if you think in your empty head that Rwanda is peaceful now, what is happening in Burundi will come to hunt Rwanda in the near future. Don't glorify Kagame because he is not God, he can not rule you forever even if you may opt to change you constitution trillion times. Nina hasira ya kuandika mengi lakini ngoja niishie hapa. Shame on you Mchambawima.