Mbaya zaidi unakuta sauti iko juu tena nyimbo zinajirudiaa hata mawsiliano hakunaHio ya nyimbo za dini ndo huwa inanikera balaa kudadek majitu cjui hayafikiriagi hivi kweli unaweka nyimbo za dini yako tu hujiulizi kuwa kuna watu wengine pia??? Wanakaa kwenye basi huku mtu anatamani hata kushuka na hawezi kwasababu ndo ashatoa hela yake Kudadek
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu hawaelewi lugha inayotumika kwenye movie that's why wanaweka zilizotafsiriwaSijui ni sheria kwao kuweka movie ziliozotafsiriwa kwa kiswahili .Wanaboa kwa kweli .
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo muvi za kijanja zina mambo yetu yaleeHili ni janga kubwa sana.
Wamiliki wa haya mabasi ya mikoani hawatoi kipaumbele kwenye suala la burudani ndani ya bus.
Kuna mabasi hawa-update burudani zinazotolewa ndani ya bus. Ukisafiri mara kwa mara na bus moja unakuta playlist haibadiliki. Inaweza fika miezi 6 wanaweka playlist ileile.
Wengine wanaweka nyimbo za dini mwanzo mwisho, wakidhani wasafiri wote ni dini ile. Kwanini kusiwe na balance?
Juzi nimepanda Shabiby, wakaweza filamu zile zinazotafsiriwa kwa kiswahili. Nilikuwa disapointed sana, kampuni kubwa vile wanashindwa vipi kuweka movie za kijanja? Movie za kutafsiriwa zimekaa kitapeli sana.
Wakati mwingine bora ulale tu.
Ni hayo kwa leo.
Unaweza ongeza na wewe.
Acha tu Mkuu hawa watu inabidi waelimishwe aiseeMbaya zaidi unakuta sauti iko juu tena nyimbo zinajirudiaa hata mawsiliano hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo burudani unataka uoneshwe bure hii pirating ni mbaya sanaHili ni janga kubwa sana.
Wamiliki wa haya mabasi ya mikoani hawatoi kipaumbele kwenye suala la burudani ndani ya bus.
Kuna mabasi hawa-update burudani zinazotolewa ndani ya bus. Ukisafiri mara kwa mara na bus moja unakuta playlist haibadiliki. Inaweza fika miezi 6 wanaweka playlist ileile.
Wengine wanaweka nyimbo za dini mwanzo mwisho, wakidhani wasafiri wote ni dini ile. Kwanini kusiwe na balance?
Juzi nimepanda Shabiby, wakaweza filamu zile zinazotafsiriwa kwa kiswahili. Nilikuwa disapointed sana, kampuni kubwa vile wanashindwa vipi kuweka movie za kijanja? Movie za kutafsiriwa zimekaa kitapeli sana.
Wakati mwingine bora ulale tu.
Ni hayo kwa leo.
Unaweza ongeza na wewe.
Hio ya nyimbo za dini ndo huwa inanikera balaa kudadek majitu cjui hayafikiriagi hivi kweli unaweka nyimbo za dini yako tu hujiulizi kuwa kuna watu wengine pia??? Wanakaa kwenye basi huku mtu anatamani hata kushuka na hawezi kwasababu ndo ashatoa hela yake Kudadek
Sent using Jamii Forums mobile app
Au za wanyama poriniDawa yenu nikuwekewa tom &jerry mwanzo mwisho[emoji52][emoji52][emoji52]
Suala siyo maovu suala ni nyimbo za dini mtu huwa na utayari wa kusikiza KULINGANA na Imani yake, isipo kuwa imani yako ndg religious tolerance huwa ni ngumu sana
Ukipanda superfeo ndo utaboreka zaidHili ni janga kubwa sana.