Heshima kwenu wanajamvi,Kuna jamaa yangu ana chaser gx100 vvti 2001 model silver anataka kubadilishana na verossa na yupo teyari kuongeza top up ya mpaka 5m to 5.5m kutegemeana na condition ya hiyo verosa. Gari yake aina ya chaser ipo tip top condion.