Burna Boy amlilia hasimu wake AKA, ajutia kutopatana nae

Burna Boy amlilia hasimu wake AKA, ajutia kutopatana nae

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,859
IMG_1968.jpg

IMG_1967.jpg

IMG_1966.jpg

Msanii Nyota kutoka Nigeria, Burna Boy ameonesha hisia zake baada ya kifo cha msanii AKA ambaye aliuawa kwa kupigwa Risasi siku ya Birthday yake February 10, 2023 jiji Durban wakati akitoka mgahawani na rafiki zake.

Ikumbukwe Burna na AKA walikuwa na tofauti za kimuziki baada ya kupishana kauli kupitia Twitter ambapo Burna alijiapiza kumchapa AKA siku wakikutana.

Beef hiyo ilidumu hadi Januari 2023 ambapo AKA alisema yeye hana tatizo na Burna na Mungu aendelee kumbariki.

AKA anatarajiwa kuzikwa Jumamosi Februari 18, 2023.
 
Nimetazama zaidi ya mara 10 lile tukio lilivyotokea. Naomba niseme tu South Africa sio sehemu salama sana ya kuishi, maana unaweza kuuwawa hadharani ukiwa na washkaji zako, yaani watu wamepagawa sana Dadek!!! Kuna haja yakubadili sheria ya matumizi ya siraha pale Bondeni. Tafiti zinaonesha Nchini S.A takribani watu 30 wanakufa kwa kupigwa risasi(Gunshoot) hivyo, kwa mwaka takribani Raia 1000+ wanakufa kwa risasi. Duuuuuuuh!! Hawa ni wengi sana
 
Back
Top Bottom