Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,766 Reaction score 14,785 Jun 9, 2023 #1 Maisha yana badilika yani leo Burna Boy ndio kumzidi kete show Davido. Picha ya kwanza video ya davido iliyotoka Uingereza Burna Boy akiwa kama msindikizaji
Maisha yana badilika yani leo Burna Boy ndio kumzidi kete show Davido. Picha ya kwanza video ya davido iliyotoka Uingereza Burna Boy akiwa kama msindikizaji
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,258 Reaction score 103,420 Jun 9, 2023 #2 Amemzidi kwenye kitu gani?
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,020 Reaction score 22,093 Jun 9, 2023 #4 Ni kweli davido kaanza kutoka kabla ya fame aliyonayo sasa burnaboy. Iyo imeenda itabaki hivyo hivyo. Ila kwa sasa burna ni bora kuliko davido
Ni kweli davido kaanza kutoka kabla ya fame aliyonayo sasa burnaboy. Iyo imeenda itabaki hivyo hivyo. Ila kwa sasa burna ni bora kuliko davido
Vangigula JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 856 Reaction score 2,755 Jun 9, 2023 #5 Ulimwengu unatawaliwa na Law of Change. Ukiendelea kusoma ni lazima utamzidi mwalimu aliyekufundisha kindergarten.
Ulimwengu unatawaliwa na Law of Change. Ukiendelea kusoma ni lazima utamzidi mwalimu aliyekufundisha kindergarten.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,501 Reaction score 27,786 Jun 10, 2023 #6 Sio kweli halafu burna boy kaanza kutoka kabla hata ya davido kuonekana kwenye kideo haifanyi kuwa alikua chawa wa david
Sio kweli halafu burna boy kaanza kutoka kabla hata ya davido kuonekana kwenye kideo haifanyi kuwa alikua chawa wa david
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,592 Reaction score 19,853 Jun 10, 2023 #7 Nasubiri Harmonize amzidi Mondi