Burigi Chato kumenoga jionee

Eiti burigiCHATO kuna watu hawana soni kabisa
 
Umeweka picha ambacho ni kitu kizuri lakini tunaomba utufafanulie hapo ni wapi, ni Chato au Burigi!?
Nauliza hivi maana kwa uelewa wangu Burigi na Chato ni maeneo mawili tofauti na kuna umbali wa karibia Kilometa 300!
Kazi ya Meko hiyo
 
Mbona hujaweka picha za wanyama? Au kivutio cha hiyo hifadhi ni nini?
 
Hapavutii kabisa aisee hii mnailazimisha lakini haitaki
 
Binafsi sijawahi kufikiria kwenda mbugani, sasa hapo umekaa mara kidume anatokea hapo, unakimbilia wapi!? Au mtambalia tumbo anajisogeza, unaenda wapi!?
 
Hizo tent zingekuwa locally made ningekuja ila kwakuwa ni za wazungu wenyewe wacha waje wakae wenyewe
 
Umeweka picha ambacho ni kitu kizuri lakini tunaomba utufafanulie hapo ni wapi, ni Chato au Burigi!?
Nauliza hivi maana kwa uelewa wangu Burigi na Chato ni maeneo mawili tofauti na kuna umbali wa karibia Kilometa 300!
Hamishieni mlima Kilimanjaro huko burigi ili panoge zaidi
 
Vipi mzee, mjomba black mamba a.k.a uncle koboko hamna huko?
 
Watalii wanakuja kuangalia vibanda?
 
I love American Trucks kwa kweli
Lakini tatizo hatuna sana nyumbani
Nilikuwa naangali clip moja mtanzania anafanya test kwenye freightliner cascadia ili apate licence daaaa! I wish I could be him. Hivi mkuu hakuna uwezekano wa sponsorship kwa ajili ya truck driving courses huko abroad?
 
Sidhani kama ipo maana kama ni courses ni kwa ajili ya wenye licence za huku tu
What a coincidence
Hapa nipo nafanya training kwa kupata CPC na leo ni siku yangu ya mwisho
Courses hizi ni mpya na kila dereva wa trucks ni lazima afanye ila gharama kubwa kidogo
Hebu jaribu kuuliza google kama inawezekana
I am not sure [emoji848]
 
Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…