E Emmanuel_mtui Member Apr 10, 2012 56 13 Jun 10, 2012 #1 Wadau wa jf nilikuwa naangalia habari hapa chanel ten, kuna habari kuwa mwanaharakati Bob Makani amefariki dunia na cdm imetangaza wiki ya maombolezezo.
Wadau wa jf nilikuwa naangalia habari hapa chanel ten, kuna habari kuwa mwanaharakati Bob Makani amefariki dunia na cdm imetangaza wiki ya maombolezezo.
Mamaya JF-Expert Member Jul 4, 2011 4,796 3,730 Jun 10, 2012 #2 R.I,P kamanda wetu muasisi wa Cdm,utakumbukwa daima