D duche boi Member Joined Nov 28, 2016 Posts 30 Reaction score 11 Dec 27, 2016 #1 Kwema wana Jf Naomba kufahamishwa Kama kuna apps au ni kwanjia gani taweza kujua mabadiliko ya fedha za kigeni bei za kuuzwa na kuuza kila siku katika simu yangu. Naomb mnifahamishe wandugu
Kwema wana Jf Naomba kufahamishwa Kama kuna apps au ni kwanjia gani taweza kujua mabadiliko ya fedha za kigeni bei za kuuzwa na kuuza kila siku katika simu yangu. Naomb mnifahamishe wandugu
THOMASS SANKARA JF-Expert Member Joined Nov 13, 2014 Posts 2,066 Reaction score 4,769 Dec 27, 2016 #2 Mimi huwa natumia xe currency ipo playstore inanisaidia sana kufanya calculation ya fedha mbalimbali za kigeni
Mimi huwa natumia xe currency ipo playstore inanisaidia sana kufanya calculation ya fedha mbalimbali za kigeni
D duche boi Member Joined Nov 28, 2016 Posts 30 Reaction score 11 Dec 27, 2016 Thread starter #3 THOMASS SANKARA said: Mimi huwa natumia xe currency ipo playstore inanisaidia sana kufanya calculation ya fedha mbalimbali za kigeni Click to expand... Poa mkuu ngoja niitazame
THOMASS SANKARA said: Mimi huwa natumia xe currency ipo playstore inanisaidia sana kufanya calculation ya fedha mbalimbali za kigeni Click to expand... Poa mkuu ngoja niitazame