Bunju-Posta Metro Line

We usituletee matatizo hapa! Hayo Ma SGR, Flyover na Bombadier yamesababisha mwaka wa tatu watu hawajaongezewa mishahara....kujenga hio metro si ndio tutaambiwa mishahara tulipwe siku za sikukuu tu!!!
Tutajifunga mikanda.
 
Lol kwa nini tusiiweke underground ikawa metro system kabisa?
Good ideas Tatizo $$$$$$$$$$
 
Lol kwa nini tusiiweke underground ikawa metro system kabisa?
Good ideas Tatizo $$$$$$$$$$
Underground is more complicated and more expensive.
 
kwa upande wangu bado sijakumbana na hiyo report!..
 
Ni wazo zuri sana,.. kwa hakika liko ndani ya uwezo wetu... Natumaini walioko kwenye nafasi za mipango ya kisera kama wanapita pita humu walichukue ... na zaidi sana walifanyie kazi .
 
Ni wazo zuri sana,.. kwa hakika liko ndani ya uwezo wetu... Natumaini walioko kwenye nafasi za mipango ya kisera kama wanapita pita humu walichukue ... na zaidi sana walifanyie kazi .
Wameanza kulifanyia kazi kama MonoRail
 
Angalau hata wakenya wameonesha njia kwemye zile express way! Bongo ukipita hii Morogoro road ni masikitiko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…