Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,261
Training ground hazina majukwaa zinakua na uzio tu.Mbna hamna jukwaa, huo ni uwanja wa gofu sio wa mpira
Acha masihara Mkuu! Simba na Yanga zina umri wa miaka 80+, halafu unasema maendeleo yoyote huja taratibu?! Kwa vitu vidogo kama hivi Simba na Yanga walitakiwa kuwa navyo in 1970's, and latest 1990's; na kwa sasa ingekuwa wanafikiria kuwa na kitu kama Taifa ile, au angalau kama Shamba la Bibi! Na kwa kuthibitisha jinsi tulivyopiga usingizi wa pono, tunakuja kuamka wakati Dar es salaam mjini maeneo ya wazi yameisha, na kulazimika kukimbilia Bunju ambako kungestahili kwa timu zilizozaliwa in 1990's na sio kwa timu kama Simba na Yanga!!Mkuu maendeleo yoyoye huja kwa taratibu tutazoea tu ata hao walioendelea walianza kama ivi Simba yetu
Swali la msingi sana, pia kuna share za kwake na wanachama, je siku gawio likitoka na wanachama account zao zitasoma pia?Wanaofahamu wanieleze hapa!
Mo amewekeza/atawekeza kwa muda wa miaka mingapi kwenye club ya msimbazi?
Hili taifa tuna safari ndefu sana! Kwa ukubwa wa Club ya Simba, huku ikiwa na mamilioni ya mashabiki na ikiwa na umri zaidi ya umri wa taifa la Tanzania, kushangilia kwa mbwembwe kitu kidogo kama hiki inaonesha wazi ni namna gani tulivyo na safari ndefu! Yaani ni kama yale ya kushangilia TAZARA Flyover!
Simba kila kitu wanaanza wao
Very good! Nilivyopiga hatua moja utotoni! Lakini leo nikipita mtaani nikishangilia kwa mbwembwe kisa baba kanunua baiskeli si nitaonekana mwehu ikiwa alikuwa na uwezo wa kununua hiyo baiskeli zaidi ya miaka 30 iliyopita!! Na ikiwa timu kama Simba iliyoanzishwa 1938 bado ipo utotoni, timu kama Coastal si ndo kwanza bado kichanga, huku timu kama Ndanda ndo kwanza mimba imetunga!!Tujifunze kuridhika na vidogo tunavyopata.
Hata wewe siku ulipopiga hatua moja utotoni ulifurahia Sana.
Kuna mahali nimesema ziache kufanya maendeleo kwa sababu zimechelewa?!Simba na yanga haziwezi acha kufanya maendeleo kisa zimechelewa ndio maana simba wameanza na uwanja wa mazoezi japo wamechelewa hiyo ni hatua na yanga waige mwanzo huu mzuri hata kama wanahisi wamechelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikupuuze!Sema wivu tu umekujaa.
Ni hatua ya maendeleo ambayo inafaa kijipongeza.
Kwahyo ulitaka simba wanune kwasababu haijawa na uwanja muda mrefu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa unajua kusoma na kuelewa wala usingeuliza swali kama hilo! Ushauri: soma na elewa kilichoandikwa!Ww umiliki Mali zinaziendana na umri wako? Maana usije ukawa unaponda tu.
Mambo mengne anzia tathmini kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumba uniandikie sms kwenye number 0763925484 please nakuomba sanaHivi Yanga ina mashabiki wangapi na umri gani vile
Sasa si ndio tuziache zifanye maendeleo na kujipongeza zenyeweKuna mahali nimesema ziache kufanya maendeleo kwa sababu zimechelewa?!
Povu la nini?Mo ana akili kuliko mashabiki ndezi wa Simba !! Huo uwanja ni wa Mo na sio wa Simba na kwamwe haitatambulika kwa jina la Simba !!
Hata kwenye document za uwanja hakuna jina la Simba ?!