The pitiable fellow has a metal block; haiwezekani onyo limetolewa jana na Spika, less than 24 hours later anaamuka na mahangover yake anatukana!!
Awajibike
mh bahati mbaya wapi mtu akishazoea matusi hutukana ovyoovyo
lakini ustaarabu ukiwa nao kamwe huwezi kutukana kwa bahati mbaya kwa sababu hata tusi kuelea kichwani kwako haiwezekani.