sasa wale akina mama waliogawa ngono mpaka wakachaguliwa kuwa wabunge mnategemea nini? hamjui ni kawaida ya malaya na mashangingi kuzomea na kupayuka? yuko wapi mbunge makini wa viti maalum wa ccm ambaye twaweza kusema huyu aliingia kihalali? rita mlaki? anna abdalah? mlata?
Eee kweli Nchi hii imefikia pabaya sana...Watu mnaakili zenu wasomi na professions zao mnashabikia mambo ya kipumbavu! Lema kubweka kijinga bungeni mnaona kafanya la maana? CDM nawajua sana, Lema na Mbowe nawafahamu sana. Nimetoka jimbo la Hai...kampeni yake nilishiriki lakini wakati huo huo namfahamu Lema personaly. Lakini siungi mkono upupu huo wa Lema maana sio ya kiistaarabu. Tunahitaji mabadiliko ya kweli na hatukubaliani na upindishaji wa kanuni pindishi zinazofanywa na wana ccm lakini pia hatukubaliani na namna CDM inavyowasilisha mambo kwa nguvu badala ya nguvu ya hoja! Ninyi mnaoshabikia mambo haya ya kipuuzi ndio mtakaopelekea nchi yetu tukufu katika machafuko! Tupambane katika kutafuta haki na mabadiliko ya kweli lakini tuongozwe na ustaarabu, hekima na busara...Hakika tutafika na ushindi ni Hakika!
Naamini hio njia anayotaka kuitumia si mpya-ishatumika na bado inatumika nchi za jiraniJana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Muda sio mefu Bune letu litakuwa kama la JAPAN,RUSIA na kwineko mtu ukitetea pumba unakula kichapo kwanza ndipo unapata adabu na akili ya kutetea Taifa.
CCM wako kama Punda bila kiboko haende wala habebi mzigo dawa ni moja viboko kwa kwenda mbele mwisho wa siku watanyooka tu...
CUF,NCCR,UDP nao wanahitaji viboko maana wako kama picha bungeni sijaona cha maana walichokifanya hadi sasa wao ni Magamba B hawawatendei haki wananchi waliowaingiza pale mjengoni!
Yaani inatia hasira hasa watu badala ya kujadili mambo ya umuhimu kwa manufaa ya taifa wao wanazomea na kuuza sura zao SHAME ON YOU MAFISADI MAGAMBA!
We unaomuona Lema anazungumza hivyo kwa uchungu wa nchi huwaona wale mashoga na "chakla ya wakubwa" waliojazwa mule kiushabiki tu hata kwa mambo yasiyo na faida kwa taifa?
Pole kama we umeogopa, nilipokuwepo mimi ni eneo lililokuwa na watu wengi na wengi wao walisema kama ningekuwa Lema nisingesema kufunga mlango, ningeenda na kufunga mwenyewe na kutwanga mtu
Visichana vyenu na ile mijinga ya kiume mliyoijaza kule ndani kushabikia badala ya kusimamia maslahi ya taifa ndiyo inayoleta adha zote na wewe umeamua kuangalia tokeo la tatizo na sio mzizi wa tatizo....na makonde mtayala sana mpaka mchange akili
Hii siasa ya Lema ndiyo nataka kusikia katika siku za sasa
Si bure lazima wewe bado una gambaJana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Na bora waanze kushushiana mangumi, labda akili za hawa wabunge watetezi wa CCM(manake co watetezi wa wananchi) zitaanza kufanya kazi vizuri. Wanatia hasira hawa!