Bunge hili jamaa wamehamua kujifungia ndani peke yao.
TBC CCM hawana habari kinachoendelea Dodoma, au ndiyo ile kanuni ya Mkinda yakuchificha peke yao imeanza kufanyakazi leo!
StarTV wao wameparamia sherehe za watu! Wamekuwa wakenya leo, wanarusha matangazo ya sherehe za Uhuru Kenyatta
bajeti ya kambi ya upinzani itakayowasilishwa imejaa vituko mambo ya kufikirika zaidi ya mwaka jana kaeni mkao wa kuona picha part two stering yuleyule bado hajafa