VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Leo ni zamu ya kusomwa na kujadiliwa,kabla ya kupitishwa,Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini. Waziri wa Wizara hiyo ni Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo. Waziri Kivuli ni Mhe. John John Mnyika. Hawa ni wazee wa data.
Wizara yao ni wizara iliyoandamwa na kashfa nyingi nchini kuliko wizara nyingine. Ya mwisho ni kashfa ya Escrow. Hata hongo kwa Wabunge ili wapitishe bajeti ya wizara hiyo husemwa. Mechi kali katika uwanja wa nyumbani. Mtoto leo hatumwi dukani!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam