Bunge Yalaani Mautumizi Ya Dola

Moscow

Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
51
Reaction score
33
Kamati ya Bunge ya Fedha imelaani matumizi ya Dola za kimarekani ikidai kwamba matumizi ya dola inachangia kuporopoka kwa uchumi wa nchi yetu....Nakumbuka kusoma haya makala humu siku za nyuma
 
TRA,TANROADS wanacharge kwa dollar unategemea nini?
 
TRA,TANROADS wanacharge kwa dollar unategemea nini?

Kwani kupanda au kushuka kwa thamani ya dollar inasababishwa na matumizi ya dollar ndani ya nchi? kwani ukitumia dollar ndani ya nchi inavukamipaka ya URT na kusababisha upungufu wa dollar kwene mzunguko ambao utasababisha kupanda kwa thamani ya dollar? mimi ninavyoelewa kama nchi haina cha kuuza nje ya nchi ambacho kitachangia kuingiza fedha za kigeni ama mnauza mazao mfano madini lakini fedha za mauzo haziingii nchini bali zinaenda kwenye akaunti za makampuni nje ya nchi na wakati ninyi mpaka sindano mnanunua toka nje hamna cha kuzalisha basi hapo msitegemee miujiza kwamba thamani ya dollar itashuka chini! Hamna cha kuuza nje ya nchi kujaza mzunguko wa dollar ndani ya uchumi. ukiangalia Balance of Trade siku zote ni dhofu hali tunanunua sana toka nje kuliko kuuza sasa hapa tusitegemee miujiza dollar itashuka thamani. I stand to be corrected lakini tuna safari ndefu sana kwenye hili sana sana ujazo wa dollar huongezeka pale tunapopokea mikopo na misaada toka kwa wahisani.
 
nidhani walaani mamlaka ya CCM moja kwa moja kumbe ,ni dola yenyewe?Anyway bado ni sababu ya dola iliyopo ndio maana nchi imekuw aya hovyo sana.....by the way,hela z aJk ni mbaya sana km 500,na 1000,ni rahisi sana kuziona tofauti noti mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…