drgeorgemayalla
Senior Member
- Jul 9, 2012
- 174
- 171
Naomba kuhoji,jana Bunge lilifunga mjadala wa bajeti kuu ya serikali ambayo ilipangwa kujadiliwa siku saba 7,badala yake wakajadili siku 3 na nusu wakapitisha kwa sababu wooote walishachangia. Ikumbukwe kwamba,CHADEMA hawakuchangia hata mmoja,na wapo wabunge 49 tu,sasa najiuliza,INA MAANA MICHANGO YA WABUNGE WA CHADEMA NDO INGESABABISHA MJADALA WA SIKU 7? INAKUWAJE PUNGUFU YA WABUNGE 49 KUONYESHA UDHAIFU NA UBUTU WA WABUNGE ZAIDI YA 250 WALIOBAKI? Naomba kutoa hoja.