YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Suala la Uchaguzi wa Zanzibar si suala la muungano na haliko katika mambo ya Muuungano.
Hivyo bunge la Muungano halina haki kisheria kulijadili suala ambalo si la muungano kwenye vikao vyao bila suala hilo kuletwa na serikali ya Zanzibar au baraza la wawakilishi.
Bunge la muungano kujadili mambo ambayo si ya muungano ni kuvunja katiba ya nchi.
Napendekeza kitu cha kwanza kujadili kiwe kufuta SITTING ALLOWANCE kwani wanalipwa mshahara kukaa kujadili ni kazi yao ya kawaida ambayo ndiyo wanalipwa mishahara.