dizbap
Senior Member
- Nov 25, 2009
- 156
- 86
Sina Mengi ya kueleza hapa ila nataka niwakilishe tu, Hoja yangu hii kwamba " UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA JK AMECHEMKA"
Kwanza naomba niulize kwa nini kamati ya katiba alichagua wataalam tu na sio wanasiasa? Jibu alikuwa nalo na anajua, Maana Wanasiasa sio watu wa kuwaamini na kwamba wanasiasa ni watu wa kufuata upepo unapo elekea, a.k.a kufanya mambo kutokana na sera za vyama vyao. Hata kama jambo ni hatarishi vipi ila kama sera ya chama chake ina hitaji jambo hilo inabidi atetee tu, Mfano: USA wao wanasema kabisa na huu ndio Motto wao wa Kitaifa " IN GOD WE TRUST" lakini watu hao hao wanaosema wana mwamini Mungu ndio kwanza wanatetea USHOGA while katika Vitabu vya huyo wanae mwamini anakataza kabisa Jambo hilo.
Kwa Kusema hayo nafikiri mmeona Jinsi gani wanasiasa walivyo wafuata upepo na ni watu ambao wanendeshwa na sera za vyama vyao. Sasa JK kwa nini aliamua/alikubali kuwa wajumbe wa Bunge Maalum la katiba wawe hawa wanasiasa? Wakatia anajua kabisa hawa ni wafuata sera? Matokea ya Kuchemka kwa JK ndio haya ambayo tunayaona sasa.
Kwa upeo wangu mimi mdogo nafikiri wajumbe la Bunge hili la katiba walitakiwa wasiwe wanasiasa kabisaa, wangechaguliwa watu kutoka makundi mbali mbali wenye akili zao, Vijana kwa Wazee, Wanawake na Wanaume ambao wangekuwa hawana sera ya chama hata kimoja wala wasio pale kwa masilahi ya chama chochote wala ya mtu yoyote Bali ya WANANCHI, Haki ya Mungu ndani ya hizo 71 Days tungepata rasimu ya kuipigia kura na swala hili lingeisha.
Lakini kwa kuweka mule ndani wanasiasa wale hatuwezi pata kitu chochote kile maana mule ndani wataishia kutukanana na kudhalilishana tu.
Naomba kama JK utapata Ujumbe huu au kuna mtu yoyote humu ana access nae JK amueleze kuwa Jambo alilolifanya amechemka na nina mshauri avunje tu lile Bunge na Afikirie vizuri kama alivyo fikiria wakati anateua Kamati ya kuunda Katiba mpya kwa maana uteuzi ule ulikuwa wa Maana sana.
Asanteni.
Naomba Nitoe Hoja.