Bunge live KBC

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Ndugu zangu angalieni KBC Kenya wanaonyesha bunge live, tena wanaonyesha live, kamati ya katiba na sheria.
Mh Nape angalia bunge live
 
Ndugu zangu angalieni kbc kenya waonyesha bunge live,tena wanaonyesha live,kamati ya katiba na sheria.
Mh nape angalia bunge live
Siku zote hilo huwa live, kunakipindi wanatoleana maneno karibia washikane mashati, hilo letu ni cha mtoto.
 
Maajabu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki!! Nilijisikia ukakasi sana niliposikia tumekuwa role model wa Museven!!!
 
Kenya ni masikini wa rasilimali lakini matajiri wa mawazo, ndio maana wanaweza kutumia akili zao kusimamia vizuri hizo rasilimali kidogo walizonazo na hili ni mojawapo. Ndio maana Nabii mmoja Mungu alipotaka kumpa 'zawadi' aliomba hekima na sio mali!
 
Ndugu zangu angalieni KBC Kenya wanaonyesha bunge live, tena wanaonyesha live, kamati ya katiba na sheria.
Mh Nape angalia bunge live
kumbe ni kamati tu inaonyeshwa live! mbona tbc wanaonyesha live kipindi cha maswali kila siku. watu wengine bana utafikiri ni nyumbun
 
Back
Top Bottom