Bunge live Bunge off

Bunge live Bunge off

Big Eagle

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2020
Posts
592
Reaction score
625
Kuna wakati bunge liko live kuna wakati liko off hapohapo linapokua off wa Bunge wanajirekodi na kurusha kwenye mitandao ya kijamii maana yake wanapenda live,

Hoja inatolewa live wakati wa kujadili bunge off wakati wa kupitisha live mh Ndugai nini hiki?
 
Bunge la Ndugai hovyo tupu!
 
Kuna wakati bunge liko live kuna wakati liko off hapohapo linapokua off wa Bunge wanajirekodi na kurusha kwenye mitandao ya kijamii maana yake wanapenda live,

Hoja inatolewa live wakati wa kujadili bunge off wakati wa kupitisha live mh Ndugai nini hiki?
Kumbe hua wanarusha most important eti.
 
Back
Top Bottom