Bunge litavunjwa lini?

Bunge litavunjwa lini?

gogo la shamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
6,669
Reaction score
2,165
Kama sijakosea nilimsikia Kikwete siku ya mwisho kuliutubia bunge alisema amehairisha kulivunja sasa nauliza litavunjwa lini? au limevunjika kimya kimya?
 
Kama sikosei alisema atalivunja tareh 20/08/2015... lakin haijulikani kama kalivunja au la...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom