johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,034
Duniani kote hakuna uchaguzi wa haki!Hakuna hata mmoja atasema nataka uchaguzi wa haki.hata magufuli hana uanaume wa kuagiza haki itendwe kwenye uchaguzi. Mipango ya dhambi ndiyo silaha zenu
in fact, hata mgombea urais wa CCM hatakuwa huyu aliye madarakani.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu hao akina KUB na mawaziri vivuli wako kwa mujibu wa kanuni za bunge ambazo zinaweza kutenguliwa wakati wowote.
Kadhalika uzoefu wa matokeo ya chaguzi ndogo umeonyesha wapinzani wana nafasi nyembamba ya kupata japo wabunge 5 kunako 2020
Hivyo ni dhahiri bunge lijalo halitakuwa na kambi rasmi ya upinzani na kwamba wabunge wengi wa CCM waliozoea kujadili Hotuba za mawaziri vivuli badala ya kuishauri serikali kupitia Hotuba za mawaziri watabakia kula pipi tu na kupiga makofi.
Maendeleo hayana vyama!
Nimeamini ukiwa Lumumba FC akili unaziweka tundu la nyuma. Ashakum si matusi .Duniani kote hakuna uchaguzi wa haki!
Hilo tundu uliliona ulipokuwa kachanga?!!Nimeamini ukiwa Lumumba FC akili unaziweka tundu la nyuma. Ashakum si matusi .
Duniani kote hakuna uchaguzi wa haki!
Ni kweli uchaguzi huru upo!Ila upo huru. Huu wakwetu sio wa haki wala huru. Tulitarajia kwakuwa ccm imefanya siasa yenyewe mpaka sasa, na inaamini imefanya vizuri na kukubalika na watu, rais aache kuagiza tume ya uchaguzi na vyombo vya dola kutangaza wagombea wa ccm kinyume cha matakwa ya wapiga kura ili yeye na ccm ione inavyokubalika. Na iwapo watalogwa kwa hilo, matokeo yataawaacha ccm na mfadhaiko.
Unafurahia wananchi kutoenda kufanya uchaguzi? Ngoja waandamane kutaka haki yao utayataka ya Rwanda 1994 kuliko yatakayowakuta unaowasifia 2020Msema kweli ni mpenzi wa Mungu hao akina KUB na mawaziri vivuli wako kwa mujibu wa kanuni za bunge ambazo zinaweza kutenguliwa wakati wowote.
Kadhalika uzoefu wa matokeo ya chaguzi ndogo umeonyesha wapinzani wana nafasi nyembamba ya kupata japo wabunge 5 kunako 2020
Hivyo ni dhahiri bunge lijalo halitakuwa na kambi rasmi ya upinzani na kwamba wabunge wengi wa CCM waliozoea kujadili Hotuba za mawaziri vivuli badala ya kuishauri serikali kupitia Hotuba za mawaziri watabakia kula pipi tu na kupiga makofi.
Maendeleo hayana vyama!
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu hao akina KUB na mawaziri vivuli wako kwa mujibu wa kanuni za bunge ambazo zinaweza kutenguliwa wakati wowote.