Bunge lijalo linaweza lisiwe na KUB wala Mawaziri vivuli

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
32,371
2,000
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu hao akina KUB na mawaziri vivuli wako kwa mujibu wa kanuni za bunge ambazo zinaweza kutenguliwa wakati wowote.

Kadhalika uzoefu wa matokeo ya chaguzi ndogo umeonyesha wapinzani wana nafasi nyembamba ya kupata japo wabunge 5 kunako 2020

Hivyo ni dhahiri bunge lijalo halitakuwa na kambi rasmi ya upinzani na kwamba wabunge wengi wa CCM waliozoea kujadili Hotuba za mawaziri vivuli badala ya kuishauri serikali kupitia Hotuba za mawaziri watabakia kula pipi tu na kupiga makofi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kohelethi

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,805
2,000
Hakuna hata mmoja atasema nataka uchaguzi wa haki.hata magufuli hana uanaume wa kuagiza haki itendwe kwenye uchaguzi. Mipango ya dhambi ndiyo silaha zenu
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
10,986
2,000
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu hao akina KUB na mawaziri vivuli wako kwa mujibu wa kanuni za bunge ambazo zinaweza kutenguliwa wakati wowote.

Kadhalika uzoefu wa matokeo ya chaguzi ndogo umeonyesha wapinzani wana nafasi nyembamba ya kupata japo wabunge 5 kunako 2020

Hivyo ni dhahiri bunge lijalo halitakuwa na kambi rasmi ya upinzani na kwamba wabunge wengi wa CCM waliozoea kujadili Hotuba za mawaziri vivuli badala ya kuishauri serikali kupitia Hotuba za mawaziri watabakia kula pipi tu na kupiga makofi.

Maendeleo hayana vyama!
in fact, hata mgombea urais wa CCM hatakuwa huyu aliye madarakani.

yaani 2020 ni shida na kizungumkuti!
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
31,736
2,000
Duniani kote hakuna uchaguzi wa haki!
Ila upo huru. Huu wakwetu sio wa haki wala huru. Tulitarajia kwakuwa ccm imefanya siasa yenyewe mpaka sasa, na inaamini imefanya vizuri na kukubalika na watu, rais aache kuagiza tume ya uchaguzi na vyombo vya dola kutangaza wagombea wa ccm kinyume cha matakwa ya wapiga kura ili yeye na ccm ione inavyokubalika. Na iwapo watalogwa kwa hilo, matokeo yataawaacha ccm na mfadhaiko.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
32,371
2,000
Ila upo huru. Huu wakwetu sio wa haki wala huru. Tulitarajia kwakuwa ccm imefanya siasa yenyewe mpaka sasa, na inaamini imefanya vizuri na kukubalika na watu, rais aache kuagiza tume ya uchaguzi na vyombo vya dola kutangaza wagombea wa ccm kinyume cha matakwa ya wapiga kura ili yeye na ccm ione inavyokubalika. Na iwapo watalogwa kwa hilo, matokeo yataawaacha ccm na mfadhaiko.
Ni kweli uchaguzi huru upo!
 
nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,245
2,000
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu hao akina KUB na mawaziri vivuli wako kwa mujibu wa kanuni za bunge ambazo zinaweza kutenguliwa wakati wowote.

Kadhalika uzoefu wa matokeo ya chaguzi ndogo umeonyesha wapinzani wana nafasi nyembamba ya kupata japo wabunge 5 kunako 2020

Hivyo ni dhahiri bunge lijalo halitakuwa na kambi rasmi ya upinzani na kwamba wabunge wengi wa CCM waliozoea kujadili Hotuba za mawaziri vivuli badala ya kuishauri serikali kupitia Hotuba za mawaziri watabakia kula pipi tu na kupiga makofi.

Maendeleo hayana vyama!
Unafurahia wananchi kutoenda kufanya uchaguzi? Ngoja waandamane kutaka haki yao utayataka ya Rwanda 1994 kuliko yatakayowakuta unaowasifia 2020
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
8,487
2,000
Kati ya vitu vitakavyomfanya Rais adharauliwe na watu wote wenye akili wa ndani na nje, na kumfanya akumbukwe kwa uovu badala ya heshima na vizazi vingi ni endapo ataua demokrasia ya vyama vingi.
 
hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
2,419
2,000
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu hao akina KUB na mawaziri vivuli wako kwa mujibu wa kanuni za bunge ambazo zinaweza kutenguliwa wakati wowote.

Kadhalika uzoefu wa matokeo ya chaguzi ndogo umeonyesha wapinzani wana nafasi nyembamba ya kupata japo wabunge 5 kunako 2020

Hivyo ni dhahiri bunge lijalo halitakuwa na kambi rasmi ya upinzani na kwamba wabunge wengi wa CCM waliozoea kujadili Hotuba za mawaziri vivuli badala ya kuishauri serikali kupitia Hotuba za mawaziri watabakia kula pipi tu na kupiga makofi.

Maendeleo hayana vyama!
Chaguzi zote upinzani unakuwa na hali mbaya but time ikifika kila mtu anashangaa
 
Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
1,965
2,000
Kwa sasa ccm imeshapoteza mvuto kwa walio wengi hata kwa wana ccm wenyewe. Kilichobaki ni vitisho na rushwa ikiwemo ahadi ya kupatiwa fursa mbalimbali zikiwemo zile za uteuzi. Hivyo hatuwezi kushagaa ikiwa hivyo. Lakini mwisho wa haya yote yatakuwa ni mabaya mno kwao ccm.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom