Bunge latu na English...

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
594
Reaction score
163
Hali ni mbya bungeni, kuna uchaguzi wa representatives wa pan africa, and lugha ndani ya bunge imebadilika, inasikitisha kua tuna wabunge wanaongea kiingereza kibovu kabisa..tena mfano mzuri ni huyo speaker mwenyewe mama makinda...kiukweli anavyoongea kiingereza ni kama anaongea kiswahili. duu.. hii ni aibu.
 
Lugha yetu ni kiswahili, hicho kiingerza ni lugha ya watu wengine hivyo usishangae maadamu wanaelewana na ujumbe unafika mahali husika basi poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…