Bunge Laongoza Kuchafua Lugha ya Kiswahili

Nshomile

Member
Nov 21, 2007
47
0
Baraza la Kiswahili lashutumu wabunge kwa uchafuzi wa Kiswahili


From http://mwananchi.co.tz/newsre.asp?id=3171
 
Kazana ni neneo la kiswahili. Huyo spika bogus sana. upeo wake ndio huo wa kufikiria ngono everytime... shit"" Zungumzia Buzwagi mjomba alah...?.
 
Tatizo ni kwamba waheshimiwa wetu hawatafuti kuwapendeza wapiga kura wao bali wawekezaji kusudi wawape fedha za kampeni! Wao ni wasomi sana wenzao si wananchi wa Nachingwea ni wawekzaji wa Canada walioko nchini. Hawajui Kinyaturu wala Kiswahili.
Salam kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…