Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,281
- 31,414
Kwa nini kiongozi?Yaani najisikia raha sana
Kwa nini kiongozi?Yaani najisikia raha sana
2) Mbowe yuko sahihi, unapotuma muamala nje ya nchi moja kwenda nyingine zile fedha hazisomi/haziingii kwenye akaunti iliyolipwa siku hiyo hiyo. Hivyo taarifa ya Mbowe ambayo ni ya tarehe 20/09/2017 kutoka Nairobi Hospital haikuonyesha kupokea fedha hizo (not captured).
KitamboZilichangwa lini?
Mkuu nikusahihishe kidogo... usihesabu toka alipopigwa risasi, hesabu tangu michango imekamilika...We ni chizi,mshamba na limbukeni tu!!
Yaani unasifia ujinga......!Tarehe 7.09.2017 mpaka Tarehe 20..09.2017 ni siku 13 kamili 2 weeks almost.Una mgonjwa yuko ICU unatuma fedha ya matibabu baada ya wiki2....!!No way!! Rais Magufuli na Spika Ndugai please, please STOP FOOLING TANZANIANS!Msitufanye watoto wadogo pse!
Hii issue ya Lissu imewakalia vibaya sana and wiill surely cost your goverment squarely!
You better keep quite than continue utterring rubbish maana mnazidii kujiaibisha sana!!
The saga have caught you unprepared......!!!!!!
Is this a Joke?
Pesa inatumwa kwenye account ya Hospital na sio account ya Chadema?
Mbona serikali inazidi kujikaanga? Hospital wao ndio wanamtibu Tundu Lisu na kazi yao ni kusema how much inahitajika ili chadema watoe au serikali itoe kama gharama za matibabu.
Kwenye hii saga maswali ni mengi kuliko majibu.
Hell Tanzania
Yaani pamoja na uchungu ninaousikia nimejikuta nacheka sasa huyu hiyo buku saba haitendei hakiTunajua unaongea upuuzi hilo halina ubishi lakini sikutarajia kama unaweza kuongea upuuzi wa hivi. Kwa hiyo spika kusema alipigwa risasi tano naye ni sehemu ya huo mchezo? Hospitali ya Dodoma aliyotibiwa nayo ni sehemu ya hilo unalooita igizo? Wakati Lissu anapelekwa Nairobi, katika uwanja wa ndege alikuwepo Mwigulu na RPC wa Dodoma, nao hao ni sehemu ya hilo igizo? Halafu eti ccm inajisifia imekuwa mpya kisha inajaza watoto wajinga kama wewe hapa mitandoni kuitetea kwa hoja.
Tangu tar, 07/09 kuna sababu gani ya msingi fedha hizo zilizochangwa say 08/09 zisiwe zimefika?
Na ndiyo maana tunatakiwa Scotland yard maana hawa tutajua mbichi na mbivu hawamtetea mtu yoyote kama aliyemshuti ni Mbowe tutajua au kama ni mpango wa Bashite na baba yake tutajua. Hata Kenya walinunua Moi alimuua AukoSijatukana wala sitatukana, nasema what Mbowe and team are doing clearly shows that they creating a MOTHER OF ALL SMOKE SCREEN.
WALIOTAKA KUMUUWA LISSU LAZIMA WAJULIKANE, NA UCHUNGUZI SHOULD ALSO INCLUDE WALIOMO CHADEMA AMBAO WANGENUFAIKA KWA KUMUONDOA KIUHAI LISSU, NA HUO UCHUNGUSI UFUATILIE POPOTE PALE PENYE MASHAKA
na tusisahu ule usemi " KIKULACHO KII NGUONI MWAKO"
Bado wanasisitiza tumwombee wakati tukikutana kwa ajili ya hayo maombi tunakamatwa
1) Walikuwa wapi siku zote kutuma hizo hela?
2) Mbowe yuko sahihi, unapotuma muamala nje ya nchi moja kwenda nyingine zile fedha hazisomi/haziingii kwenye akaunti iliyolipwa siku hiyo hiyo. Hivyo taarifa ya Mbowe ambayo ni ya tarehe 20/09/2017 kutoka Nairobi Hospital haikuonyesha kupokea fedha hizo (not captured).
3) Ni aibu kwa jinsi Mhimili wa Bunge unavyojidhalilisha kwenye hili suala la Lissu. Hivi wanadhani ripoti za Nairobi Hospital zinaandaliwa na CHADEMA? Je hawajui wanazidi kuumbuka?
4) Spika na Bunge wanathibitisha mashaka na tuhuma za Mbowe na Watanzania wengi juu ya wahusika wanaotiliwa shaka.
Kutetea huu upupu yatupasa kuhoji IQ yako uenda mengine ayapo sawa yaani . Mental illnessA well written communication. Nimempenda bure mkuu wa kitengo cha mawasiliano bunge hakutaka kuingia kwenye mtego wa wanasiasa. Keep it up
Kutokana na tabia ya leo aliyoionyesha mheshimiwa MBOWE.....kuna uwezekano hii ni sinema ya ukweli
1) Inawezekana Lissu hakuwepo hata kwenye gari wakati risasi zinapigwa...
2)Dereva wa lissu hakuwepo ndani ya gari...alikuwa chini ya uvungu wa gari
3)Warushaji risasi walipangwa na GENGE husika walijua LISSU hayupo kwenye gari na Dereva atakuwa uvunguni kwa hivyo shot off target
4)Damu iliyoonekana inawezekana ikipimwa inawezekana ikaonekana ni ya ngombe kama sio mbuzi
5)Dereva wa LISSU alitoroshwa haraka ili asitoe ushirikiano
6)Madaktari waliohusika inawezekana part ya game lakini wakibanwa wanaweza kusema ukweli
7)Madaktari na location ya Kenya ilitayarishwa kwa ushirikiano mkubwa wa Kenyatta kwa hivyo siri bado inalindwa.
8)CHADEMA wapo HOI KIUCHUMI wamegundua njia ya harambee kwani NJIA za UFISADI zimefungwa na account za Mfalme wao zinatafutwa kila kukicha kwa hivyo hawezi kuvuta mpunga kuogopa kugunduliwa..
9)Baada ya kushindwa kupata attention ya dunia na wanaharakati kwa vurugu mbali mbali toka octoba 2015...wamebuni mbinu mpya ...
Halafu kwamba ni emergence wanajua sana tu... NIMSHUKURU YULE MBUNGE ALIYEDHAMINI GHARAMA ZA NDEGE maana ile alirespond very positive kwenye emergence situation...Ndugai nae sio mtu mzuri...
Yaani pesa imeshikiliwa badala ya kwenda kuokoa maisha ya lisu,
zile pesa zilikuwa ni emergency,
zilitakiwa haraka,
je,hapa sio kuna watu walitaka huyu lisu apoteze maisha kweli?
Naona speech ya Mwenyekiti Mbowe imekuwa kama kumwaga mafuta ya taa kwenye mashimo..!!Naongeza kopo la pili la popcorn maana naona movies haziishi